Uchambuzi wa Mkataba wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kati ya Tanzania na Dubai

huyu Musukuma ana nini ndani yake? Ina maana ana ushawishi mkubwa humo ndani kiasi aonekane ukimpata yeye umewapata wote, mi naona kama the guy is overrated, sijui lakini maana siasa za bongo uchwarauchwara mwingi ndiyo una count a lot.
 
Huu mkataba unaiingiza rasmi Tanzania kwenye biashara za Kimataifa.

Wenye uelewa wa biashara za Kimataifa watalielewa hilo.

Mambumbumbu wa biashara mtabaki bandari imeuzwa, imeuzwa.

Imeuzwa kupelekwa wapi?
Mzanzibari katika ubora wake.
 
Mkataba ujadiliwe kama una tija, ila DPWorld wako makini sana
Sawa lakini wapewe miaka 20 tu jumla na 5 kati yake ya probation. Pia wawe na mkakati wa kuwajengea Watanzania uwezo baada ya hiyo miaka 20 Watanzania wenyewe ndio waendeshe bandari yao.
 
Inawezekana kila awamu iliyopita walikuwa wanauza kilicho karibu,na wenda vimeisha,awamu hii wamefikiriii,wakaona bandari inafaa.
 
Inawezekana kila awamu iliyopita walikuwa wanauza kilicho karibu,na wenda vimeisha,awamu hii wamefikiriii,wakaona bandari inafaa.
Unaweza kutoa mfano wa kilichouzwa awamu iliyopita?
 
Wewe uliyeunganisha Uzi wangu hufai
 
Kama ni hakika jambo hili lipo, huyu mama SSH atakuwa ameliingiza taifa kwenye historia mbaya. Marais wote wamepita lakini hajatokea hata mmoja aliyechezea Bandari namna hii! Mama huyu anaishia kubaya
Yeye hajui kinachoendelea zaidi ya kusifiwa wanaume wanapiga pesa tu
 
Mnamlaumu na kudhihaki sana Chief Mangungo lakini mjuwe yeye na mkalimani wake hawakusoma wala kujua Kijerumani, tofauti na watawala wa Sasa wenye ma PhD ya ukweli na uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…