Huyu jamaa anajiita mchambuzi wa soka hapa Tanzania.. Lakini uchambuzi wake ni uchambuzi wa kubomoa, kuponda na kuondoa ari ya soka waliokuwa Nayo watanzania ...uchambuzi uliojaa fitina na chuki za kishamba na kishabiki na hajui maana au tafsiri ya underdog ...... Alisababisha kutoka mwamko na ari ya watazamaj watanzania Kwa ujumla katika mechi na saoura ... Bado haamini matokeo ya uwanjani kwamba soka la Leo asilimia kubwa hakuna timu kubwa wala ndogo mambo yote ni uwsnjani najua anafahamu amekuwa kero Kwa kampeni ya Simba katika maandalizi yeke ...pamoja na ushamba wake ataishangaa Simba msimu huu
Ni ndugu yenu huko huko, Siyo shabiki wa Yanga huyoPUNTER GANI HUYO ANAEONESHA USHABIKI WAZIWAZI?
Last season AS vita kacheza final ya confederation cup, al ahaly walifcheza final ya champions league Africa,so nikweli Simba kutoboa kundi hili ningumuShafii anaongea ukweli wa wazi sema watanzania vilaza hawajazoea kuambiwa ukweli mkavu. Kwenye lile kundi Simba ni underdog hata kama Soura hawana historia kama yao.
Wabongo hawapendi kuambiwa ukweliShaffi yupo sahihi ngoja hatua ya makundi ikamilike ndo tutaona ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa anajiita mchambuzi wa soka hapa Tanzania.. Lakini uchambuzi wake ni uchambuzi wa kubomoa, kuponda na kuondoa ari ya soka waliokuwa Nayo watanzania ...uchambuzi uliojaa fitina na chuki za kishamba na kishabiki na hajui maana au tafsiri ya underdog ...... Alisababisha kutoka mwamko na ari ya watazamaj watanzania Kwa ujumla katika mechi na saoura ... Bado haamini matokeo ya uwanjani kwamba soka la Leo asilimia kubwa hakuna timu kubwa wala ndogo mambo yote ni uwsnjani najua anafahamu amekuwa kero Kwa kampeni ya Simba katika maandalizi yeke ...pamoja na ushamba wake ataishangaa Simba msimu huu
Kweli kwa mpira wanaoupiga wale as vita hatuwezi kuwafunga mchezo ujao Kinshasa labdaMimi ni Simba SC ' Kindakindaki ' na namjua Dauda ni mwana Yanga SC japo anajificha lakini katika ' Analysis ' yake juu ya Simba SC hasa ya leo aliyoisema akiwa katika Kipindi chao cha Michezo cha Sports Extra Clouds fm yupo sahihi kwa 99.9%. Simba SC hatupo vibaya na Timu inajitahidi ila bado nina uhakika kuwa Kundi letu wanapita Al Ahly na AS Vita Club na Sisi ama tutakuwa ni wa Tatu au tutashika Mkia. Bado hatuna Kikosi cha Kutuvusha ila tukijipanga zaidi labda kwa Msimu ujao kama tutakuwa tena Mabingwa wa TPL tunaweza Kufanya vyema zaidi.
tukiwafunga au tukitoa sare utasikia agh mechi ijayo hmtaweza,maneno haya yalianzia kwa mbabane yakenda nkana yakaenda algeria..chillax men.camonKweli kwa mpira wanaoupiga wale as vita hatuwezi kuwafunga mchezo ujao Kinshasa labda
Sent using Jamii Forums mobile app
Huhuhuhuhu yani mkawafunge au kutoa sare kule Kongo?! Hivi inakuaje mtu unaota ndoto kama hii?!tukiwafunga au tukitoa sare utasikia agh mechi ijayo hmtaweza,maneno haya yalianzia kwa mbabane yakenda nkana yakaenda algeria..chillax men.camon