Huyu jamaa anajiita mchambuzi wa soka hapa Tanzania.. Lakini uchambuzi wake ni uchambuzi wa kubomoa, kuponda na kuondoa ari ya soka waliokuwa Nayo watanzania ...uchambuzi uliojaa fitina na chuki za kishamba na kishabiki na hajui maana au tafsiri ya underdog ...... Alisababisha kutoka mwamko na ari ya watazamaj watanzania Kwa ujumla katika mechi na saoura ... Bado haamini matokeo ya uwanjani kwamba soka la Leo asilimia kubwa hakuna timu kubwa wala ndogo mambo yote ni uwsnjani najua anafahamu amekuwa kero Kwa kampeni ya Simba katika maandalizi yeke ...pamoja na ushamba wake ataishangaa Simba msimu huu