Uchambuzi wa Soka: Nani bora zaidi kati ya Mwalimu Kashasha na Dr. Leakey?

Uchambuzi wa Soka: Nani bora zaidi kati ya Mwalimu Kashasha na Dr. Leakey?

kashasha viingereza tu ndo vinambeba ila leakey amejaa materials..kombe la dunia bila leakey upati kabisa radha ya uchambuzi..mwl ye mambo yake ya hiyo inaitwa ACROBATIC RIGHT SHOOTED KICK....KWAKO JESE JOHN
..inapigwa blockbuster moja ktk angle ya cross bar na post.
 
Kweli Dokta Leakey Abdallah kwakweli hana Mpinzani nchini Tanzania katika Uchambuzi kama siyo Udadavuaji wa masuala ya Soka / Kandanda nchini Tanzania. Nimechunguza taratibu kuanzia katika Redio na Runinga na hata kwa Wachambuzi binafsi ninaowajua na kugundua ya kwamba 99.9% yao wanamtumia huyu Mzee kama ' Mzola ' wao au ' Chabo ' yao tukuka katika kutufanyia Sisi ' Mangumbaru ' tathmini / chambuzi zao za Soka la ndani na la nje.

Shikamoo sana Dokta Leakey Abdallah.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom