Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji16] [emoji16] [emoji23] [emoji23]Kashasha ana mambo mengi tatizo sura ya pombe Kali
Tofauti zao hizo ndio zinawafanya wapendwe zaidi. Hakuna aliyemuacha mwenzakeKwanza hongera JF kwa kurudi hewani
Ningependa kujua mtazamo wa watu juu ya wachambuzi hawa wawili wa soka hapa Tanzania.
Mwalimu Kashasha na Dr. Leakey, Wamekuwa wakichambua soka stesheni ya TBC wakati huu wa kombe la dunia. Kwa kweli Mwalimu Kashasha kwa mtazamo wangu kamuacha mbali sana Dr. Leakey. Licha ya Mwalimu Kashasha kuwa na technical jargons za soka ila anajua kuuchambua mpira kiufundi zaidi
Dr. Leakey sioni akichambua mpira upande wa mbinu za mchezo bali yeye ni masimulizi ya kawaida tu kama ya kupiga stori kijiweni kuhusu soka.
Je wewe wadhani nani ni zaidi?
Kabisa yote 32
Nilianza kumfuatilia na kupenda maelezo yake kwa mara ya kwanza
Kwenye fainali za kombe la Dunia 1998, kati ya Ufaransa na Brazil. Hakika hautochoka kumsikiliza