Uchambuzi wa Soka: Nani bora zaidi kati ya Mwalimu Kashasha na Dr. Leakey?

Mel. Kashasha changa nyingi, Dr. Leaky mfungaji mahiri.
Kila mtu ana ladha yake.
Kashasha anachambua kama mwalimu wa wachezaji, Dr anachambua kama Rais wa timu.
Kumbuka rais wa timu ndio mwenye maono (vision) ya timu, mwalimu ni mtimiza maono
Big NO
 
Wewe pimbi humjui Dr Leakey Abdullah, kwa taarifa yako Dr anamiliki kampuni ya uwindaji na ana pesa ya kufa mtu, huo muda wa kupiga porojo na majobless autowe wapi?
 
Akizungumzia last penalty kick ya Spain
anasema..."yule Russian GK alishow Complex
motor skills, semi acrobatic, alikua airborne
horizontal, eyes on the ball akaweza kuflash
mguu wake na kuutoa mpira"... - atakuwa
MCHAMBUZI gani huyu?
Mzee kashasha anatumia nguvu kubwa kuishi mjini , anajifanya anaujua mpira kuliko Reo Ferdinand
 
Ss huyo leakey kama anajua sana historia za watu bora aende makumbusho
 
Wewe pimbi humjui Dr Leakey Abdullah, kwa taarifa yako Dr anamiliki kampuni ya uwindaji na ana pesa ya kufa mtu, huo muda wa kupiga porojo na majobless autowe wapi?
Ww tutusa kama ana makampuni ya uwindaji hapo tbc anaenda kufanya nn na porojo zake
 
Wewe pimbi humjui Dr Leakey Abdullah, kwa taarifa yako Dr anamiliki kampuni ya uwindaji na ana pesa ya kufa mtu, huo muda wa kupiga porojo na majobless autowe wapi?
Ww tutusa kama ana makampuni ya uwindaji na hana muda wa kupiga porojo hapo tbc anaenda kufanya nn na porojo zake,funga bakuli lako wewe au ww ni mkewe?
 
sema ukwel huyu mzee anatupaga chai
Mimi huwa nafuatilia uchambuzi vituo vingi vya TV hata nje sijawahi kusikia mchambuz akitumia technical jargons kama za kashasha. Mzee anajichoshwa kumeza yale mamisamiati
 
Kuwalinganisha hawa ni kukosea sana kwani Mwalimu Kashasha ni mwalimu wa soka na Dr Leak ni mchambuzi wa soka sasa usishangae kuona hizo technical terms za Kashasha ukaona anajua sana ni porojo tu kama zingekuwa nzuri zingesaidi team anayoifundisha kufika mbali but Dr Leaky anachambua kuanzua historia ya mchezaji na kwakutumia uwezo na mfumo anaweza kusema team ipi itapata nafasi zaidi ya ushindi kama unabisha ninachokisema waauliza Premier bet watakuambia kazi ya Dr Leak.
 
Wewe unakila bange ya wapi?mwl kashasha anafundisha timu gani?kama humjui mtu sio lazma umuelezee bora ukae kimya huyu ni mwl wa darasani kabisa sio kocha......
Huyo leakey yeye ni kumeza stori na kuzisimulia hana anachokichambua kitaalam
 
wanakula pesa kiulaini sana hawa jamaa nani anaweza akanipa na mimi connection nikawe mchambuzi
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…