Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,297
- 758
Nilitaka nikalale lakini kwa anavochambua kitaalamu dah nimejikuta nasubiri mechi ya night kali. I wish angeombwa kuinoa timu yetu ya taifa. Mnamwonaje wakuu?
Mbona nilimsikiliza kabla ya mechi ya Spain na Chile, alikuwa na uhakika kabisa Spain watashinda! kashushuka shuu. Gozi langu limenuna limeenda kulala baada ya mechi maana alikuwa anaishabikia Spain na mimi kwa ushindani tu nikawa naishabikia Chile.
Kwi kwi kwi teh teh teh!
Watanzania porojo tu, huyo mwalimu aangekuwa anajuwa mpira si tungeona mafanikio ya timu zetu? maneno mengi vitendo kidogo, hiyo ndio kawaida ya Watanzania walio wengi.
kazi ya mkufunzi wa soka sio kutabiri bali ni kuchambua kiufundi na kitaalamu, technically spain walikuwa vizuri sana zaidi ya chile, hivyo kwa mchambuzi yeyote anayejua soka lazima angempa ushindi spain kwa maana ya rank yao, squad depth yao, rekodi zao na kadhalika zilikuwa zinawafanya wawe favorite kushinda, ingawa ktk actual game lolote linaweza kutokea ndio maana Chile wakashinda!Mbona nilimsikiliza kabla ya mechi ya Spain na Chile, alikuwa na uhakika kabisa Spain watashinda! kashushuka shuu. Gozi langu limenuna limeenda kulala baada ya mechi maana alikuwa anaishabikia Spain na mimi kwa ushindani tu nikawa naishabikia Chile.
Kwi kwi kwi teh teh teh!
Watanzania porojo tu, huyo mwalimu aangekuwa anajuwa mpira si tungeona mafanikio ya timu zetu? maneno mengi vitendo kidogo, hiyo ndio kawaida ya Watanzania walio wengi.
kazi ya mkufunzi wa soka sio kutabiri bali ni kuchambua kiufundi na kitaalamu, technically spain walikuwa vizuri sana zaidi ya chile, hivyo kwa mchambuzi yeyote anayejua soka lazima angempa ushindi spain kwa maana ya rank yao, squad depth yao, rekodi zao na kadhalika zilikuwa zinawafanya wawe favorite kushinda, ingawa ktk actual game lolote linaweza kutokea ndio maana Chile wakashinda!
Nahisi umechukizwa zaidi na huko kununiwa kuliko utabiri wake, maana kwa asili yake neno 'kutabiri' ni kukisia na kukadiria. Ndio maana hata Mamlaka ya Hali ya Hewa licha ya vifaa na utaalamu wote walio nao, huishia na kauli 'matazamio ni mabadiliko kidogo'. Kwa hivyo mtu anapotabiri ujue anakusudia 'huenda ikawa ....' na sio 'lazima itakuwa'. Kwa anayefahamu maana ya utabiri, huwa halazimiki kuweka. 'Disclaimer' hiyo. Ndivyo alivyosema mwalimu huyu. Alaumiwe kwa jengine, kama lipo.Kama Mwalim wa mpira alitakiwa ajuwe mpira uko duara na unadunda, hakuna team pale ambayo ina uhakika wa 100% kushinda, maneno yake yalikuwa ..."leo Spain itashinda", hiyo ilikuwa katika uchambuzi kabla ya mechi, nakumbuka sana hayo maneno kwani niliuliza na niliokuwa nasikiliza nao, "huyu ni Mwalim au Mtabiri?". hata mimi nisiyejuwa sana mambo ya mpira nilishangaa ikanibidi niishangilie team ambayo alikuwa na uhakika itashindwa, kwa ushabiki tu wa kuwa na "underdogs".
Matokeo? nimenuniwa na Gozi langu, kwani na lenyewe lilikuwa na uhakika wa Spain kushinda.
Nahisi umechukizwa zaidi na huko kununiwa kuliko utabiri wake, maana kwa asili yake neno 'kutabiri' ni kukisia na kukadiria. Ndio maana hata Mamlaka ya Hali ya Hewa licha ya vifaa na utaalamu wote walio nao, huishia na kauli 'matazamio ni mabadiliko kidogo'. Kwa hivyo mtu anapotabiri ujue anakusudia 'huenda ikawa ....' na sio 'lazima itakuwa'. Kwa anayefahamu maana ya utabiri, huwa halazimiki kuweka. 'Disclaimer' hiyo. Ndivyo alivyosema mwalimu huyu. Alaumiwe kwa jengine, kama lipo.
Wachambuzi wenyewe ndo uwezo mdogo sasa tbc iwatoe wapi? Watu kweli hamna uzalendo na chombo chako cha umma. Tbc pamoja na bajeti finyu wanafanya vizuri jamani tujivunie, kama ni makosa madogo basi tutoe ushauri mzuri badala ya kuponda.