Uchambuzi wa soka TBC World cup 2014 Brazil(by mwl.kashasha)

Kama uko hivyo kweli, Allahu Barik!
 
hahaha!!! maisha yanatofautiana wengine dstv, wengine tbc......maisha yanaenda
 
Hivi watu huwa mnawaelewa kabisa hawa wachambuzi wa kibongo?
 
Mmewasifia tbc sasa wamemuondoa mwl kashasha. Huyu mzee ana kiwango kikubwa. Kuna mziba, mkwasa na leo naona mwambusi wate hakuna kitu. Huyu mwl, kuna jirani yangu anasema alikuwa mkufunzi wake miaka ya 90 chuo cha korogwe akifundisha sport
 
Habari wakuu,

Kwa wale tunaongalia hili kombe la dunia kupitia TBC bila shaka hamtatofautiana na mie kumpongeza huyu mzee anayechambua mpira, Mwalimu Kashasha.

kwa upande wangu nao a ni mtu anaujua mpira, anakufanya uvutiwe kumsikiliza, anadiscuss nothing but the football. tofauti na wale ambao huja na stori za goal.com, skysports na. mitandao mingine.

Big up mzee Kashasha, tunafurahi kwa wachambuzi wa namna hii.
 
Reactions: MTK
Halafu huyu mzee akiwa anaongea kama vile ana mapengo mengi mdomoni!!
 

Nafikiri kwa mara ya kwanza TBC have got something right!! kwa sababu wakati wachambuzi wengine wengi huangaika zaidi zaidi na "hadithi ya mpira"; huyu Mwl Kashasha amejikita zaidi katika "sayansi ya mpira"; Bravo TBC; Mwalimu Kashasha muda wote anajaribu kutufafanulia "mantiki nyuma ya kila kitendo"; "the science behind the game; How it is made"
Well done Mwlm Kashasha
 
Halafu huyu mzee akiwa anaongea kama vile ana mapengo mengi mdomoni!!

You are nuts; watu wanazungumzia issue; (Mpira) wewe unamzungumzia mtu?! you are indeed too small minded for this forum; BS
 
leo kwa jinsi mwl.kashasha alivyochambua mech ya brazil na col. nimemkubali kamfunika hata dk liki
 
Anaonekana anajua soka ni mwalimu wa mpira
Dr.Riki Abdala aka Google wa Soka ni mzuri kwa uchambuzi wa soka

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Dr Liki si mchambuzi ni mwanahistria wa soka!
 
Mwalimu Kashasha nimemkubali sana. Yeye anachambua tactically, wengine akina Shafii wao wanatupa porojo tu. Kwakweli kawafunika wote. TBC siwapendi sana ila kwa kumuweka Kashasha nitawaangalia kabla ya mechi,wakati wa mapumziko na mpira ukuisha, wakati wa ball naangalia be in sports.
 
Hivi watu huwa mnawaelewa kabisa hawa wachambuzi wa kibongo?

Tatizo mentality unaona kila cha kibongo ni hovyo. Jaribu kutuliza akili then kama kweli wewe ni fun wa football utamkubali Mwl.Kashasha.
 
kwa hawa wachambuzi wetu akiwemo Dr liki hakuna anaemfikia Mwl Kashasha. Zile mbwembe za kufahamu historia za timu na wachezaji ndio zinazowabeba akina Liki, lakini kwa uchambuzi wa kitaalam hakuna lolote
 
Hivi watu huwa mnawaelewa kabisa hawa wachambuzi wa kibongo?

Mi huwa siwaelewi kabisa ukichanganya na yale mapengo ya yule mzee ndo kabisaaa naona nyota tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…