mwangalingimungu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,301
- 733
Kama uko hivyo kweli, Allahu Barik!Neno utabiri nimeuliza mimi, nisima vizuri hakusema yeye. Yeye kasema "leo Spain itashinda" tena expression yake ilikuwa inaonesha ana uhakika kabisa.
Ninune? khaa! Faiza mie kununa huwa nnakusikia kwa wengine tu, AlhamduliLlah si sifa yangu hiyo. Unanchekesha.