Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Sisiemu wenyewe washenzi. Nduga si aliwahi kumtandika mwenzake hadharani na hakufanywa lolote. Adam sawa tu alichofanya. Chimba kweli washambawashamba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaYale ni matumizi mabaya ya teke ilitakiwa alopigwa aokotwe kwenye maspika kule akiwa ametua kwa kudundia matako
Je ungepigwa wewe bwashee.?Angempiga teke hilo mtukutu kama Chid Benz, Kalapina, Dudubaya, Ney wa Mitego, Kr Mullah etc kidogo tungeweza kweli kusema Adam Mchomvu ni kidume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Have you ever wondered what would've been David's fate if the stone he used against goliath missed him?I am not talking about who was wrong and who was right. Nazungumza kuhusu " teke" kama teke.
Provided all other factors remain constant.
Teke la Adamu Mchomvu ni la kichovu sana.
Kwanini?
1. Kampiga mwenzake kwa kumshtukiza. (This one is a cowardic act. There is nothing heroic about it.)
2. Kasubiri mpaka mwenzake kageuka nyuma ndio kamkwatua.
Kama Adam alikuwa kidume kweli angetakiwa kufanya yafuatayo:
1. Asinge mpiga teke Kwa kumshtukiza. Kumpiga teke MTU ambae anaondoka na Hana habari kama anaweza kushambuliwa ni u coward WA Hali ya juu Sana. Maana yake ni kwamba mshambuliaji aliogopa kumface victim wake.
2. Alitakiwa ampige teke wakiwa wanatazamana one against one . Hapo ndio tungesema Adam ni kidume. Hakuweza kufanya hivyo Kwa sababu he is a coward.
# Kamshambulia Mbasha Mkorintho. Wakorintho wa kimapokeo wanajulikana Kwa ufuasi WA " atakae kupiga Kofi shavu la kulia basi mpe na la kushoto"
Angempiga teke hilo mtukutu kama Chid Benz, Kalapina, Dudubaya, Ney wa Mitego, Kr Mullah etc kidogo tungeweza kweli kusema Adam Mchomvu ni kidume.
# n.b: Na wewe Mbasha, next time usiwe Fala. Kuwa mlokole haimaanishi kwamba ndio mtu akuzingue kiboya boya huku unamuangalia.
Is it not in Ur Bible that David fought with Goliath?
Is it not in Ur Bible that Joseph wrestled with an Angel?
Mifano IPO mingi Sana.
Next time MTU kama Adam akikuzingua na wewe mzingue. Ya Mungu mpe Mungu ya Kaisar mpe Kaisar. Kwani Ngumi sh ngapi?
Kama vipi ukishindwa Mgumi tumia hata maandazi ya Mungu au Mjomba nisaidie. Or hire some help. I mean some muscles to fight on ur behalf.
Umenikera sana Mbasha.
# As a man u should always be willing and able to fight back.
Alisema analinda brandi.Bangi Mbaya,
Yaani mtu kuanza kupigana kwa umri huo kwakweli ni ukosefu wa busara.
Mimi nadhani kuna umri ukifikia hupaswi kuanza kuwaza ugomvi wa ngumi, unapaswa kuwaza ugomvi wa hela, yaani kushindana kwenye maendeleo.