Uchambuzi wa teke la Adam Mchomvu: Kwanini Adam Mchomvu is a coward?

Uchambuzi wa teke la Adam Mchomvu: Kwanini Adam Mchomvu is a coward?

Sisiemu wenyewe washenzi. Nduga si aliwahi kumtandika mwenzake hadharani na hakufanywa lolote. Adam sawa tu alichofanya. Chimba kweli washambawashamba.
 
Angempiga teke hilo mtukutu kama Chid Benz, Kalapina, Dudubaya, Ney wa Mitego, Kr Mullah etc kidogo tungeweza kweli kusema Adam Mchomvu ni kidume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Adam Mchomvu ametenda kosa la kijinai hadharani, mbele ya kamera, mbele ya sebule zetu, mbele ya bars zote waliokuwa wanaonyesha onyesho hilo, mbele ya baba JPM, mbele ya Mwenezi CCM Taifa, mbele ya polisi waliokuwepo eneo hilo na mbele ya hadhira iliyokuwepo uwanjani...

Dhana ya kuuona uhalifu na kuufumbia macho ni utamaduni ulioota mizizi kwenye jamii yetu.

Tuendelee kumsifia na kumkosoa kwa sababu sheria imeenda likizo
 
Angempiga teke hilo mtukutu kama Chid Benz, Kalapina, Dudubaya, Ney wa Mitego, Kr Mullah etc kidogo tungeweza kweli kusema Adam Mchomvu ni kidume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
Je ungepigwa wewe bwashee.?
 
I am not talking about who was wrong and who was right. Nazungumza kuhusu " teke" kama teke.

Provided all other factors remain constant.

Teke la Adamu Mchomvu ni la kichovu sana.

Kwanini?
1. Kampiga mwenzake kwa kumshtukiza. (This one is a cowardic act. There is nothing heroic about it.)

2. Kasubiri mpaka mwenzake kageuka nyuma ndio kamkwatua.

Kama Adam alikuwa kidume kweli angetakiwa kufanya yafuatayo:
1. Asinge mpiga teke Kwa kumshtukiza. Kumpiga teke MTU ambae anaondoka na Hana habari kama anaweza kushambuliwa ni u coward WA Hali ya juu Sana. Maana yake ni kwamba mshambuliaji aliogopa kumface victim wake.

2. Alitakiwa ampige teke wakiwa wanatazamana one against one . Hapo ndio tungesema Adam ni kidume. Hakuweza kufanya hivyo Kwa sababu he is a coward.

# Kamshambulia Mbasha Mkorintho. Wakorintho wa kimapokeo wanajulikana Kwa ufuasi WA " atakae kupiga Kofi shavu la kulia basi mpe na la kushoto"

Angempiga teke hilo mtukutu kama Chid Benz, Kalapina, Dudubaya, Ney wa Mitego, Kr Mullah etc kidogo tungeweza kweli kusema Adam Mchomvu ni kidume.

# n.b: Na wewe Mbasha, next time usiwe Fala. Kuwa mlokole haimaanishi kwamba ndio mtu akuzingue kiboya boya huku unamuangalia.

Is it not in Ur Bible that David fought with Goliath?

Is it not in Ur Bible that Joseph wrestled with an Angel?

Mifano IPO mingi Sana.

Next time MTU kama Adam akikuzingua na wewe mzingue. Ya Mungu mpe Mungu ya Kaisar mpe Kaisar. Kwani Ngumi sh ngapi?

Kama vipi ukishindwa Mgumi tumia hata maandazi ya Mungu au Mjomba nisaidie. Or hire some help. I mean some muscles to fight on ur behalf.

Umenikera sana Mbasha.

# As a man u should always be willing and able to fight back.
Have you ever wondered what would've been David's fate if the stone he used against goliath missed him?
 
Angempiga teke hilo mtukutu kama Chid Benz, Kalapina, Dudubaya, Ney wa Mitego, Kr Mullah etc kidogo tungeweza kweli kusema Adam Mchomvu ni kidume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
😁😁😁😁😁
 
Bangi Mbaya,

Yaani mtu kuanza kupigana kwa umri huo kwakweli ni ukosefu wa busara.

Mimi nadhani kuna umri ukifikia hupaswi kuanza kuwaza ugomvi wa ngumi, unapaswa kuwaza ugomvi wa hela, yaani kushindana kwenye maendeleo.
Alisema analinda brandi.
 
Lakini nae mbasha alikosea vile vile, hekima na busara ni muhimu.
 
Back
Top Bottom