Tunashuhudia Sekretariet ya CCM ikiendelea na uchambuzi wa wagombea Ubunge na Madiwani. Naishauri Sekretariet ifanye kazi hii kwa umaakini mkubwa kwa kuangalia CV ya kila mgombea.
Katika Bunge lililopita baadhi ya Wabunge walidanganya wasifu wao yaani CV na wengine kudiriki kusema kuwa wamemaliza Masters zao kwa muda wa miezi sita tu.
Kwa kweli kwa wale watakaodanganya katika wasifu wao wafutiliwe mbali hata akiwa Waziri katika Bunge lililopita.
Tunataka tupate Wabunge ambao ni waadilifu na wasio na kasoro ya aina yeyote.