Uchambuzi: Wachezaji wa Simba sio damu changa tazama hapa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Leo nimelia sana Baada ya kugundua tunaenda kupigwa kitu kizito ( heavy thing) na uongozi wa Simba kuhusu usajili ambappo wanadai wamesajili damu changa ingawa kiuhalisia sio kweli Bali Wana UMRI mkubwa

Mfano;
1. Mukwala - Imeandikwa ana 24 years, ila ukimcheki ni 30's.

2. Mutale - What a joke [emoji23][emoji23]jamaa nywele zimetoka kichwani, eti ni 22yrs!

3. Lameck Lawi - Misuli imekomaa kama mizizi ya msongwa, eti ndo miaka 18!

NB: Tujiandae kisaikolojia

 
Kizazi hiki kinacho kula kuku aliyeishi Kwa muda wa wiki 2 miili yao lazima izeeke haraka, pia hawa wachezaji wa mpira wanafanya sana mazoezi hadi kusababisha waonekane wa kubwa bila kusahau pesa wanazo pia,(pesa ni sabuni ya roho) huo umri uko kwenye hati ya kusafiria
 
Haha Kwamba ndo sababu
 
Damu changa ni chama baleke okrah na mkude mumewatoa simba under 20 ila huu ushabiki sometimes unakuwa kama chizi vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…