Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Leo nimelia sana Baada ya kugundua tunaenda kupigwa kitu kizito ( heavy thing) na uongozi wa Simba kuhusu usajili ambappo wanadai wamesajili damu changa ingawa kiuhalisia sio kweli Bali Wana UMRI mkubwa
Mfano;
1. Mukwala - Imeandikwa ana 24 years, ila ukimcheki ni 30's.
2. Mutale - What a joke [emoji23][emoji23]jamaa nywele zimetoka kichwani, eti ni 22yrs!
3. Lameck Lawi - Misuli imekomaa kama mizizi ya msongwa, eti ndo miaka 18!
NB: Tujiandae kisaikolojia