UCHAMBUZI WANGU KUHUSU MCHEZAJI MPYA WA AZAM STANIC HENRI

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
1. Kacheza mechi 16 ligi ya betway.akiwa mchezaji wa Stellenbosch ya afrika kusini, ni mzaliwa wa ubelgiji.ana miaka 23 tu.

2. kaanza kikosi cha kwanza mechi 14.

3.kacheza dakika 1230.

4.hajafunga bao Wala kutoa pasi ya bao katika ligi msimu ulioisha.


Endelea kuwa NAMI mchambuzi wa maswala ya BURUDANI na michezo, wananiita

Zachariano alexido jz
 

Attachments

  • Screenshot_20260716-203235.jpg
    46.4 KB · Views: 14
Yaani unapima ubora wa beki wa kati Kwa kuangalia alifunga idadi ya magoli na assists ngapi?
Unamfahamu christian romero
Yaani unapima ubora wa beki wa kati Kwa kuangalia alifunga idadi ya magoli na assists ngapi?
Yaani unapima ubora wa beki wa kati Kwa kuangalia alifunga idadi ya magoli na assists ngapi?
Unamfahamu christian romero wa Argentina? Kafunga goli mbili, Hadi sasa anazidiwa na Messi goli sita tu, huyo ni beki, ina mana mpaka Argentina kucheza fainali Kuna mchango wake si kuzuia tu Bali kachangia mabao.

Fainali hatuendi Kwa kuzuia pekee tunatakiwa kufunga pia, badilika football ya sasa mpaka kipa ana score, seuze beki.
 
Kuweka mwelewa
Ikitokea beki kafunga ni tukio la kimchezo.
Hukumu la beki ni kulinda na kuzuia magoli
Huwezi sema kuwa Hary Kane ni striker Bora kwakuwa anazuia magoli
 
Kuweka mwelewa
Ikitokea beki kafunga ni tukio la kimchezo.
Hukumu la beki ni kulinda na kuzuia magoli
Huwezi sema kuwa Hary Kane ni striker Bora kwakuwa anazuia magoli
Sasa kama ni tukio la kimchezo kuna haja gani beki wakisasa kupanda kushambulia?
 
Kwaiyo akina Vidic, Makele, CAfU, Zambrota, Carraga, Daniel Agger, Umtiti, Pique, Maladn, Marcelino ambao hawana magoli mengi sio mabeki wazuri
Unachekesha kaka hao wote ULIO wataja wana magoli, sijui point Yako ni ipi? Tena bila aibu una mtaja na pique mtu ambae hawezi cheza mechi nne bila kutoa assist au kufunga Rudi kaangalie record zao,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…