Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
1. Mimi ni shabiki wa Yanga lia lia.
2. Mitandaoni wanayanga wanalalamika kuhusu R.G. ga kupewa mechi ya kesho kwa sababu wanadhani au wana amini R.G.ga ni mnazi wa Simba.
3. Sikubaliani na wananchi wenzangu. Awali ya yote hakuna anae jua R.G.ga ni shabiki wa timu gani zaidi yake yeye mwenyewe. Lakini kwa kutazama mahali anapo tokea ni sahihi kabisa kuamini kwamba R.G.ga ni shabiki wa Yanga. R.G.ga anatoka Manyara. Ni Saitaa Garmaa. Asilimia kubwa ya watu wa iraq( wambulu ) ni mashabiki wa Yanga kama tu ilivyo kwa wamakonde. So kwa kigezo hicho ninaweza ku conclude kwamba R.G.ga ni shabiki wa Yanga. Hata hivyo hii sio point yangu. Point yangu nipo hapa 👇
4. R. G. ga is a very professional and ethical football referee.
R.G. ga ana fuata kanuni na sheria. Sehemu ya penati anaweka Penati( hata kama ni dakika na 90) sehemu ya kazi nyekundu anatoa kazi nyekundu. Hanaga kupeta mbulu yule.
Kama sheria ipo upande wako R.G.ga utampenda na kumkubali sana lakini kama sheria haipo upande wako basi utamchukia sana R.G.ga kwa sababu R.G.ga huwa anafuata sheria kama ilivyo andikwa kwenye vitabu cha FiFa. Tazama hata gestures zake. Yupo kama Mzungu vile.
Kwa hiyo wafu walio karibu na kocha wa Yanga. Wamfikishie taarifa Gamondi awaambie wachezaji wake kwamba wahakikishe wanafuata sheria zote ndani ya pitch na hawafanyi makosa ya kisheria wawapo karibu na lango lao sababu R.G.ga atafuata sheria kama zilivyo andikwa kwenye vitabu cha FiFa.
Nimalize kwa kuwatakia wanacho ushindi kwenye mechi ya kesho.
Credit: Ukurasa wa Instagram wa Likud wa Jamii Forums.