Uchambuzi wangu Simba sc 1-1 Azam fc

Uchambuzi wangu Simba sc 1-1 Azam fc

Kama uliuangalia huu mpira kwa makini unaweza ukakubaliana na mimi kwa hakika kuwa Hizi ndio timu zinazowania nafasi ya pili, Yanga amewaacha mbali both azam na simba kiuchezaji, kwa kifupi gemu yao ya Leo ilikuwa kama chandimu, vibonde wote hawa wawili ambao mmoja alikula tatu mbili na mwingine akigongwa chuma tano na mabingwa wakihistora Yanga sc walikuwa wakiruka ruka kama mapoyoyo uwanjani.

Leo kulikuwa na POINT SITA za Yanga na magoli 8, zikipambana bila kusahau Goli nne za Aziz Ki zilikuwa zitifuana bila malengo.

Kimsingi hawa wote ni VIBONDE.. Mpira wa namna hii huwezi kuchukua ubingwa, huu ni mpira kwa timu zinazo wania nafasi ya pili na nafasi ya tatu, pira takataka.

Wachezaji wanacheza kama wamepiga PUNYETO kwa mafuta ya taa.
Chomoa kwanza kitu ulichokalia kwanza
 
Pongezi ziwandee Simba; wamejitahidi sana kuachana na uteja kwani kwa zaidi ya miaka mitatu sasa Simba walikuwa vibonde wa Azam kila kukicha
 
Kama uliuangalia huu mpira kwa makini unaweza ukakubaliana na mimi kwa hakika kuwa Hizi ndio timu zinazowania nafasi ya pili, Yanga amewaacha mbali both azam na simba kiuchezaji, kwa kifupi gemu yao ya Leo ilikuwa kama chandimu, vibonde wote hawa wawili ambao mmoja alikula tatu mbili na mwingine akigongwa chuma tano na mabingwa wakihistora Yanga sc walikuwa wakiruka ruka kama mapoyoyo uwanjani.

Leo kulikuwa na POINT SITA za Yanga na magoli 8, zikipambana bila kusahau Goli nne za Aziz Ki zilikuwa zitifuana bila malengo.

Kimsingi hawa wote ni VIBONDE.. Mpira wa namna hii huwezi kuchukua ubingwa, huu ni mpira kwa timu zinazo wania nafasi ya pili na nafasi ya tatu, pira takataka.

Wachezaji wanacheza kama wamepiga PUNYETO kwa mafuta ya taa.
Huu ndo uchambuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yanga mlitamani simba ipoteze hii game ila wapiiii, mbali na kumuhonga huyo mbuzi kayoko bado mmebuma.
 
Back
Top Bottom