Uchambuzi wangu Simba sc 1-1 Azam fc

Chomoa kwanza kitu ulichokalia kwanza
 
Pongezi ziwandee Simba; wamejitahidi sana kuachana na uteja kwani kwa zaidi ya miaka mitatu sasa Simba walikuwa vibonde wa Azam kila kukicha
 
Huu ndo uchambuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yanga mlitamani simba ipoteze hii game ila wapiiii, mbali na kumuhonga huyo mbuzi kayoko bado mmebuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…