Uchambuzi wangu Simba sc 1-1 Azam fc

Aisee. Kweli wewe ni Mwehu kama unavyojiita!
 
Mchambuzi wa Mchongo....
 
Kama huo uharo hapo juu nao ni uchambuzi,basi Manara Apewe maua yake Kwa msemo wake kuwa utopoloni wenye akili ni wawili tu
 
Kama huo uharo hapo juu nao ni uchambuzi,basi Manara Apewe maua yake Kwa msemo wake kuwa utopoloni wenye akili ni wawili tu
Kwa hiyo huo uchambuzi wangu nawa jemedari saidi bin kazumari unatofauti gani mkuu?
 
Kwani shule haijaanza tu,maana tumechoka kuona takataka
 
Bado kidgo wakuingize nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…