Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 77
- 271
UCHAMBUZI WA Comrade Ally Maftah, DAR YOUNG AFRICAN VA COMMERCIAL BANK OF ETHIOPIA SPORT ASSOCIATION (CBE SA)
Na Comrade Ally Maftah
PACOME WA MCHONGO
CBE SA ( Comercial Bank of Ethiopia Sport Association ilianzishwa mwaka 1982 pale Adis Abab Ethiopia, ni timu ambayo inashikilia kombe la vilabu nchini Ethiopia,
CBE SA imeshiriki kombe la shirikisho mara mbili - : 2005 na 2010 ambapo iliishia hatua za awali, mzunguko wa kwanza, kwa sasa ni timu yenye uwezo mkubwa nchini Ethiopia ikiwa na washabiki wengi nchini Ethiopia kutokana na ubora wa wachezaji kama Umar Bashiru ( Ghana ).
Ikumbukwe leo ni tarehe 4 mwezi wa Meakerem 2017 ( Orthodox Calender ) ambapo sisi kwetu ni tarehe 14 Sep 2024. ambapo mabingwa wa Soka Tanzania Dar Young African watakipiga pale uwanja wa Abebe Bikila uliopo Adis Ababa Ethiopia.
PIA SOMA
- FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024
Dar Young African chini ya kocha kutoka Argentina Miguel Angel Gamond amefika Ethiopia akiwa na wachezaji wake wote akiwemo Dickson Job ambae aliumia kidogo akilitumikia taifa katika mechi ya Stars dhidi ya Guinea.
Wapenzi wa soka tunatarajia kuona mchezo huu mubashara kuanzia saa tisa mchana. Dar Young African itamheshimisha Dr Samia.
IMEANDIKWA NA
Comrade Ally Maftah
PACOME WA MCHONGO
0785670227