Uchambuzi: Wimbo 'Hujambo mwanangu?' - Rostam Ft. Ferooz

Huu ni wimbo mpya wa Roma na Stamina wakimshirikisha Ferouz katika kiitikio.

Ni wimbo ambao umetumia tafsida za kutosha lakini ujumbe umefika tena sana.

utafute youtube, wameuweka tayari jioni hii. Kama utapata ukakasi kuhusu tafsida zilizotumika weka hapa utasaidiwa kupewa ufafanuzi. Utafute wimbo huu halafu uje utupe maoni yako

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…