Uchambuzi: Wimbo 'Hujambo mwanangu?' - Rostam Ft. Ferooz

Uchambuzi: Wimbo 'Hujambo mwanangu?' - Rostam Ft. Ferooz

Roma: Nina wasi wasi na waliobaki Mama awaangalie vizuri
Stamina: Kama
Roma: Kaka yetu aliye Hai na yuko Hapi
Stamina: Yule chenga
Roma: Pole Pole hayo mambo sasa ni Musiba njooni chemba
Narudi na nitafikia kwa kaka Bumbuli
Stamina: Hata kwa Mama mdogo yule mwalimu wa Tanga utaishi vizuri
Sasa hii ndio Sanaa!...kila mtu atafasiri kwa namna yake!
 
pole sana kaka kiufupi humjui roma
nenda kasiikilize mechi za ugenini, usimsahau mchizi malizia na mkombozi
namjua vizuri sana, weka comparison ya ngoma za Roma za harakati na zile za kawaida uone wengi wataenda wapi!
Unahisi kwanini za harakati Ni nyingi kuliko hizo nyingine ambazo hazifiki hata 4, harakati ndio zinamweka sokoni.
 
Hellooo, Mwanangu hujambooo, pale mwisho nimecheka sanaaa
 
Pale mwisho kikao cha familia cha upande mmoja yaani bunge CCM watupu ila mjomba anajibu wanafamilia wa nje badala ya kujibu hoja kwa maana Ndungai anajibu watu wa mitandaoni na kina Mbowe. sasa sauti ya Mama ndio imemaliza 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Ivi like banda kijijini baba alijenga la nini....
[emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom