Sasa hii ndio Sanaa!...kila mtu atafasiri kwa namna yake!Roma: Nina wasi wasi na waliobaki Mama awaangalie vizuri
Stamina: Kama
Roma: Kaka yetu aliye Hai na yuko Hapi
Stamina: Yule chenga
Roma: Pole Pole hayo mambo sasa ni Musiba njooni chemba
Narudi na nitafikia kwa kaka Bumbuli
Stamina: Hata kwa Mama mdogo yule mwalimu wa Tanga utaishi vizuri
Acha uoga.ndio kazi ya msanii!!!!Mi kwa upande wangu ni fan mkubwa wa roma
ila nyimbo hii itazidi kumuweka pabaya, angetulia tu na kuachana nyimbo za kisiasa
Wimbo mzuriNyimbo nzuri.
Mtu yuko zake Marekani nani wa kumuweka pabaya?Mi kwa upande wangu ni fan mkubwa wa roma
ila nyimbo hii itazidi kumuweka pabaya, angetulia tu na kuachana nyimbo za kisiasa
namjua vizuri sana, weka comparison ya ngoma za Roma za harakati na zile za kawaida uone wengi wataenda wapi!pole sana kaka kiufupi humjui roma
nenda kasiikilize mechi za ugenini, usimsahau mchizi malizia na mkombozi
weka ngoma against ngoma tuoneMtafute tena upya
Mother Theresa [emoji23][emoji23][emoji23]dada amechoka wanafamilia wanamuangusha ......
Duu kwahiyo tuliokwenda kuzika na sisi wafu tuUkipata muda kasome Luka 9:60
Nyumba ikaenda na maji ya bahariniBashite, kuacha ukuu wa mkoa na kugombania ubunge kigamboni
Hii verse imetrend sana kwa kweli.LUKA 9:60" ACHENI WAFU WAWAZIKE WAFU WENZAO"
Acha unafiki.Mi kwa upande wangu ni fan mkubwa wa roma
ila nyimbo hii itazidi kumuweka pabaya, angetulia tu na kuachana nyimbo za kisiasa
Roma siyo mjinga soon usidhangae kusikia familia yake ipo USHapana mwanangu
Ila si unafahamu ametengana na familia yake kwa zaidi ya mwaka??
unasemaje kuhusu hilo