Uchambuzi: Wimbo 'Hujambo mwanangu?' - Rostam Ft. Ferooz

Njiwa mkubwa kwanini hatagi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wahuni wanainyea Dreamliner yetu
 
wangemshirikisha wamitego saiv wimbo ungekuwa BASATA.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Raithi wa manthethe in ze building.
(Huyu jamaa hata akiimba kwaya BASATA wanaye tu[emoji3][emoji3])
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Sijaelewa kuhusu swimming pool ya Rufiji

Kaka yetu aliye hai na yupo hapi!

Naomba mnifafanulie hapo na hizi

Kikoba cha vijana inayoongozwa na kaka

Mama amuangalie kaka yake kwa makini atamfelisha.
 
Sijaelewa kuhusu swimming pool ya Rufiji

Kaka yetu aliye hai na yupo hapi!

Naomba mnifafanulie hapo na hizi

Kikoba cha vijana inayoongozwa na kaka

Mama amuangalie kaka yake kwa makini atamfelisha.

Niivyoelewa,
Swimming pool la Rufiji ni mradi wa bwawa la umeme Rufiji.
Sabaya na Ali hapi

UVCCM inaongozwa na Heri james
Samia amuangalie Speaker Ndugai.

Kwa uelewa wangu, ila kila mtu anaweza kuwa na tafsiri yake, na ndio kazi ya sanaa kama hizi

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ahsante sana
 
Roma analialia eti kwa nini wimbo wa kibamia wameimba na Stamina ila akafungiwa yeye tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yees imekaa poa
 
Naomba kujua kaphone kama kuna sehem katajwa kwa namna yyt ile... Maan mwanzo nilijua mjomba aliyemruhusu mradi umulike kisarawe ni kaphone
 
Naomba kujua kaphone kama kuna sehem katajwa kwa namna yyt ile... Maan mwanzo nilijua mjomba aliyemruhusu mradi umulike kisarawe ni kaphone
Ametajwa kwenye ule mradi wa Bandari bagamoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…