Elections 2010 Uchambuzi Yakinifu Kuhusu Matokeo ya Urais 2010

jethro mbona sijakuelewa
 

CHADEMA hatujawahi, hatuwezi na hatuna watu wa namna/sampuli yako, Nakataa wewe Si CHADEMA!!!
Usitufanye watoto wadogo :nono:
 
Tupe takwimu kwa mfano tuweze kuchangia bila ushabiki wa vyama
 
.

Usipotoa takwimu na mfano wa jimbo unaloliongelea na wewe utaonekana unachakachua matokeo.
 

Tunapopata data inatusaidia kutoa hukumu kwa haki kwa waliokiuka haki.
 
Umati wote ule wakati wa kampeni mlitaka Dr Slaa akubari matokeo kirahisi? hata kama ameshindwa kwa haki ni lazima awaonyeshe mashabiki wake kwamba hakushindwa kwa haki. Ni jambo la kawaida katika dunia yote ya siasa. Pengine moyoni Dr Slaa anajua kashindwa lakini atawapa nini mashabiki zake kama si kukataa matokeo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
vyama vya upinzani vina mambo ya ajabu sana, vinafurahia kuona umati mkubwa wakati wa kampeni bila kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura lakini pia kuhamasisha kujiandikisha na matokeo yake ndio haya.....Umati mkubwa kura sifuri. Wananchi wengi sana hawakupiga kura mwaka huu aghalabu wanaweza kuwa ni wale waliokuwa wanajaa katika mikutano ya Dr Slaa.

Helkopta ilitamalaki na watu wakakimbia kuja kuiona huku hawana vitambulisho vya kupiga kura.... wapi na wapi. Tutailaumu CCM kumbe kasoro zingine ziko kambi ya upinzani.

kelele za chura hazimzuii ng'ombe kuvywa maji. kwa sasa ni kujipanga upya kwa ajili ya uchaguzi ujao badala ya maandamano.
 

Hii lugha ni ya mchumia tumbo ambaye maslahi yake yataathirika sana kama bwana wake ataanguka.
Kweli ukizoea makombo shida.
Pole Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…