Aahaaaaa,na Mayele haondokiYanga imealikwa Kwa Heshima kubwa na rais wa nchi ya malawi .......wachezaji wameenda kula bata Malawi, wamepewa makokezi mazito na kuheshimika
Then watu wapo kwenye sherehe yao afu unawafunga ....hii inakuwa inakua sio fair sawasawa na Ile kauli ya kuingiza mchanga kwenye kitumbua
Ila wangekuwa ni makolo wangetifuliwa vya kutosha
NB: congole Kwa Yanga kuwaheshimisha wamalawi
View attachment 2680869
Yanga imealikwa Kwa Heshima kubwa na rais wa nchi ya malawi .......wachezaji wameenda kula bata Malawi, wamepewa makokezi mazito na kuheshimika
Then watu wapo kwenye sherehe yao afu unawafunga ....hii inakuwa inakua sio fair sawasawa na Ile kauli ya kuingiza mchanga kwenye kitumbua
Ila wangekuwa ni makolo wangetifuliwa vya kutosha
NB: congole Kwa Yanga kuwaheshimisha wamalawi
View attachment 2680869
STUPIDOYanga imealikwa Kwa Heshima kubwa na rais wa nchi ya malawi .......wachezaji wameenda kula bata Malawi, wamepewa makokezi mazito na kuheshimika
Then watu wapo kwenye sherehe yao afu unawafunga ....hii inakuwa inakua sio fair sawasawa na Ile kauli ya kuingiza mchanga kwenye kitumbua
Ila wangekuwa ni makolo wangetifuliwa vya kutosha
NB: congole Kwa Yanga kuwaheshimisha wamalawi
View attachment 2680869
Aaahaaaa,Simba hawalali Kwa amaniAende wapi mkuu....Yanga ndipo mahala sahihi kwake
Tatizo Simba hanjawahi kucheza soka mbele ya maraisi wawili wa nchi tofauti......mngeuona uzito wakeHiki ulichoandika hapa ndio uchambuzi?
Yaani mimi ni shabiki na mwanachama wa Yanga lakini aibu naiona aiseeh!
Mashabiki kama wewe ndio unafanya wanayanga tuonekane mafala, ndio maana tukaitwa utopolo!
Tittle umeandika uchambuzi, nilitarajia nione umechambua kitaalamu jinsi game ilivyokuwa na ufundi ulioonyeshwa lakini kumbe umeandika vichambo!
Wenzetu makolo sijui wanahusikaje na hiyo game hadi uwataje!
Kwa kweli aibu nimeona kwa ulichoandika!!
Hiki ulichoandika hapa ndio uchambuzi?
Yaani mimi ni shabiki na mwanachama wa Yanga lakini aibu naiona aiseeh!
Mashabiki kama wewe ndio unafanya wanayanga tuonekane mafala, ndio maana tukaitwa utopolo!
Tittle umeandika uchambuzi, nilitarajia nione umechambua kitaalamu jinsi game ilivyokuwa na ufundi ulioonyeshwa lakini kumbe umeandika vichambo!
Wenzetu makolo sijui wanahusikaje na hiyo game hadi uwataje!
Kwa kweli aibu nimeona kwa ulichoandika!ja
Hhaa haaaa ebu utopolo wote itisheni kikao ili mchambane kwanzaHiki ulichoandika hapa ndio uchambuzi?
Yaani mimi ni shabiki na mwanachama wa Yanga lakini aibu naiona aiseeh!
Mashabiki kama wewe ndio unafanya wanayanga tuonekane mafala, ndio maana tukaitwa utopolo!
Tittle umeandika uchambuzi, nilitarajia nione umechambua kitaalamu jinsi game ilivyokuwa na ufundi ulioonyeshwa lakini kumbe umeandika vichambo!
Wenzetu makolo sijui wanahusikaje na hiyo game hadi uwataje!
Kwa kweli aibu nimeona kwa ulichoandika!!
Usimtoe macho.Hiki ulichoandika hapa ndio uchambuzi?