Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Yanga imealikwa kwa heshima kubwa na rais wa nchi ya Malawi, wachezaji wameenda kula bata Malawi, wamepewa makokezi mazito na kuheshimika.
Then watu wapo kwenye sherehe yao afu unawafunga, hii inakuwa inakua sio fair sawasawa na Ile kauli ya kuingiza mchanga kwenye kitumbua
Ila wangekuwa ni makolo wangetifuliwa vya kutosha.
NB: Kongole kwa Yanga kuwaheshimisha wamalawi.