Uchambuzi: Yanga ilikuwa sahihi kutoa sare Malawi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Yanga imealikwa kwa heshima kubwa na rais wa nchi ya Malawi, wachezaji wameenda kula bata Malawi, wamepewa makokezi mazito na kuheshimika.

Then watu wapo kwenye sherehe yao afu unawafunga, hii inakuwa inakua sio fair sawasawa na Ile kauli ya kuingiza mchanga kwenye kitumbua
Ila wangekuwa ni makolo wangetifuliwa vya kutosha.

NB: Kongole kwa Yanga kuwaheshimisha wamalawi.

1688470802253.jpg
 
Yanga imealikwa Kwa Heshima kubwa na rais wa nchi ya malawi .......wachezaji wameenda kula bata Malawi, wamepewa makokezi mazito na kuheshimika

Then watu wapo kwenye sherehe yao afu unawafunga ....hii inakuwa inakua sio fair sawasawa na Ile kauli ya kuingiza mchanga kwenye kitumbua
Ila wangekuwa ni makolo wangetifuliwa vya kutosha

NB: congole Kwa Yanga kuwaheshimisha wamalawi
View attachment 2680869
Aahaaaaa,na Mayele haondoki
 
Hiki ulichoandika hapa ndio uchambuzi?
Yaani mimi ni shabiki na mwanachama wa Yanga lakini aibu naiona aiseeh!
Mashabiki kama wewe ndio unafanya wanayanga tuonekane mafala, ndio maana tukaitwa utopolo!
Tittle umeandika uchambuzi, nilitarajia nione umechambua kitaalamu jinsi game ilivyokuwa na ufundi ulioonyeshwa lakini kumbe umeandika vichambo!
Wenzetu makolo sijui wanahusikaje na hiyo game hadi uwataje!
Kwa kweli aibu nimeona kwa ulichoandika!!
 
Kwa hiyo maumivu ya bwana Kapumbu na Vipers bado yanaendelea kwa kuwa mlifungwa katika siku yenu?

Actually utopoloni wenye nazo ni wawili tu.
 
Yanga imealikwa Kwa Heshima kubwa na rais wa nchi ya malawi .......wachezaji wameenda kula bata Malawi, wamepewa makokezi mazito na kuheshimika

Then watu wapo kwenye sherehe yao afu unawafunga ....hii inakuwa inakua sio fair sawasawa na Ile kauli ya kuingiza mchanga kwenye kitumbua
Ila wangekuwa ni makolo wangetifuliwa vya kutosha

NB: congole Kwa Yanga kuwaheshimisha wamalawi
View attachment 2680869
STUPIDO
 
Hiki ulichoandika hapa ndio uchambuzi?
Yaani mimi ni shabiki na mwanachama wa Yanga lakini aibu naiona aiseeh!
Mashabiki kama wewe ndio unafanya wanayanga tuonekane mafala, ndio maana tukaitwa utopolo!
Tittle umeandika uchambuzi, nilitarajia nione umechambua kitaalamu jinsi game ilivyokuwa na ufundi ulioonyeshwa lakini kumbe umeandika vichambo!
Wenzetu makolo sijui wanahusikaje na hiyo game hadi uwataje!
Kwa kweli aibu nimeona kwa ulichoandika!!
Tatizo Simba hanjawahi kucheza soka mbele ya maraisi wawili wa nchi tofauti......mngeuona uzito wake
 
Ja
Hiki ulichoandika hapa ndio uchambuzi?
Yaani mimi ni shabiki na mwanachama wa Yanga lakini aibu naiona aiseeh!
Mashabiki kama wewe ndio unafanya wanayanga tuonekane mafala, ndio maana tukaitwa utopolo!
Tittle umeandika uchambuzi, nilitarajia nione umechambua kitaalamu jinsi game ilivyokuwa na ufundi ulioonyeshwa lakini kumbe umeandika vichambo!
Wenzetu makolo sijui wanahusikaje na hiyo game hadi uwataje!
Kwa kweli aibu nimeona kwa ulichoandika!ja

Hhaa haaaa ebu utopolo wote itisheni kikao ili mchambane kwanza
 
Hiki ulichoandika hapa ndio uchambuzi?
Yaani mimi ni shabiki na mwanachama wa Yanga lakini aibu naiona aiseeh!
Mashabiki kama wewe ndio unafanya wanayanga tuonekane mafala, ndio maana tukaitwa utopolo!
Tittle umeandika uchambuzi, nilitarajia nione umechambua kitaalamu jinsi game ilivyokuwa na ufundi ulioonyeshwa lakini kumbe umeandika vichambo!
Wenzetu makolo sijui wanahusikaje na hiyo game hadi uwataje!
Kwa kweli aibu nimeona kwa ulichoandika!!
Usimtoe macho.
 
Back
Top Bottom