hamsa hamsa
Member
- Apr 27, 2023
- 51
- 126
Yanga ni lidude likubwaaa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga washavukaHuu utabiri wenu unaitia gundu Yanga yetu.
Subirini tuvuke mto ndipo muanze kutukana mamba.
Tukimalizana kwa sare au kwa ushindi na Rivers United FC ndiupo tuanze kuwadharau tuliowapiga na si ambao hatujamalizana nao.
Hakuna kufuta😂Hizi nyuzi sijui mtazifutaje [emoji23][emoji23]
nilipanda ndege ya saa7 utanikuta uwanjaniTwende pale mjini Casablanca
Sema kweli?Na yanga ndio mabingwa super cup mwaka huu yanga itabeba makombe 4
Wapuuzi sana ,Walidhani lile kombe ni Ugali.TUNAFUKUA MAKABURI YA MATAHIRA WA UTOPOLO.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mamamamamaeeeeeeeeeeeeeeeee Mungu fundiYANGA NA MAMELOD KUKUTANA SUPER CUP
[emoji3544]Kwa sasa mabingwa wa nchi Yanga na Mabingwa wa Afrika Kusini PSL yaani Mamelod Sundowns hizi ndio timu ambazo zimekuwa na uhakika wa kushinda kwa asilimia 90 katika viwanja vya ugenini na nyumbani.
[emoji3544]Yanga ambao wapo katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC hawakamatiki na Mamelod Sundowns ambao wapo ligi ya Mabingwa Afrika ni moto wa kuotea mbali.
[emoji3544]Kwa aina ya matokeo ambayo wanayapata hadi sasa hizi ndio ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kubeba haya makombe wanayoshiriki.
[emoji3544]Endapo Yanga watabeba kombe la Shirikishi Barani Afrika CAFCC na Mamelod Sundowns wakabeba Ligi ya Mabingwa Barani Afrika CAFCL basi miamba hii ya soka itakutana katika SUPER CUP.
.
[emoji3] wakikomaa wanakutana kweli hawa watu itakuwa balaaahhh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Imepostiwa na @sportskick_
___________________________________
View attachment 2600263