Uchambuzi: Yanga na Mamelod kukutana Super cup

Uchambuzi: Yanga na Mamelod kukutana Super cup

Huu utabiri wenu unaitia gundu Yanga yetu.
Subirini tuvuke mto ndipo muanze kutukana mamba.
Tukimalizana kwa sare au kwa ushindi na Rivers United FC ndiupo tuanze kuwadharau tuliowapiga na si ambao hatujamalizana nao.
Yanga washavuka
 
Hiyo game diarra aanze, na kule mbele mayele aanze.....itakuwa bonge la game 😅😅😅😅😅
 
YANGA NA MAMELOD KUKUTANA SUPER CUP

[emoji3544]Kwa sasa mabingwa wa nchi Yanga na Mabingwa wa Afrika Kusini PSL yaani Mamelod Sundowns hizi ndio timu ambazo zimekuwa na uhakika wa kushinda kwa asilimia 90 katika viwanja vya ugenini na nyumbani.

[emoji3544]Yanga ambao wapo katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC hawakamatiki na Mamelod Sundowns ambao wapo ligi ya Mabingwa Afrika ni moto wa kuotea mbali.

[emoji3544]Kwa aina ya matokeo ambayo wanayapata hadi sasa hizi ndio ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kubeba haya makombe wanayoshiriki.

[emoji3544]Endapo Yanga watabeba kombe la Shirikishi Barani Afrika CAFCC na Mamelod Sundowns wakabeba Ligi ya Mabingwa Barani Afrika CAFCL basi miamba hii ya soka itakutana katika SUPER CUP.
.
[emoji3] wakikomaa wanakutana kweli hawa watu itakuwa balaaahhh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Imepostiwa na @sportskick_
___________________________________
View attachment 2600263
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mamamamamaeeeeeeeeeeeeeeeee Mungu fundi
 
Back
Top Bottom