Habari zenu wadau:
Matokeo ya form 6 ndio yameshatoka na tumeshuhudia mabadiliko makubwa ya alama za ufaulu, kwa mda uliobaki naomba tusaidiane ufafanuzi wa Kuingia Chuo Kikuu kwa kutumia mfumo wa alama mpya za ufaulu
Kwa mfano:
mtu amepata DDE div 4 ataingiaje chuo Kikuu...?
nawakilisha:
nakumbuka mwaka wangu, EED ni div 3 na ni rahisi tu kuingia chuo kikuu, lakini najiuliza hawa waliopata DDE ambayo wao ni div 4 itakuwajee....?
kuna madogo wana D D C hila wana Div 4 yani full maigizo hii big results wakati zama zetu hapo mtu unacheka tu mpaka jino la mwisho
Ngoja waziri mwenye dhamana atakuja kututangazia kua waliopata div 1, 2, 3 na 4 wote wanaingia chuo. Kivumbi sasa huo muziki wa chuo watauweza?
Jamaaaa wanachezea sana elimu ya bongo kweli tanzania inabidi iingie kwenye maajabu saba ya dunia
Habari zenu wadau:
Matokeo ya form 6 ndio yameshatoka na tumeshuhudia mabadiliko makubwa ya alama za ufaulu, kwa mda uliobaki naomba tusaidiane ufafanuzi wa Kuingia Chuo Kikuu kwa kutumia mfumo wa alama mpya za ufaulu
Kwa mfano:
mtu amepata DDE div 4 ataingiaje chuo Kikuu...?
nawakilisha:[/Q
Principle inaanzia c mkuu lkn D ni sawa na S ya zamani na E ni sawa na F
kuna madogo wana D D C hila wana Div 4 yani full maigizo hii big results wakati zama zetu hapo mtu unacheka tu mpaka jino la mwisho
Mwaka huu Principal ni C kwenda juu,
D ni subsidiary na E ni failure.
Hivyo wote wenye div 1,two na three wana qualify kwenda chuo kwani wana angalau principal 2 na subsdiary 1.
Wenye chini ya principal 2 na subsidiary 1 wamepewa div 1V bila points zozote.
Imetoka TCU guide book 2014/15..For the new grading system principal pass is between A and D.
D ni principle pass
Nimesoma guide yao tcu wanasema convert big results to old results
A-A weights yake 5
B+ to B weights yake 4
B to C weights yake 3
C to D weights yake 2
D to E weights yake 1
E to S weights yake 0.5
F to F weights yake 0
Sasa wamefanya nini si bora wagewawekea div 3 wale wote waliopata D D C wote kuliko kuweka 4 na minimum points wanataka 2.0
Ahsante for info mkuu!
Sasa,mbona wenye D flat wamepewa div 4?
Mwaka huu Principal ni C kwenda juu,
D ni subsidiary na E ni failure.
Hivyo wote wenye div 1,two na three wana qualify kwenda chuo kwani wana angalau principal 2 na subsdiary 1.
Wenye chini ya principal 2 na subsidiary 1 wamepewa div 1V bila points zozote.
nakumbuka mwaka wangu, EED ni div 3 na ni rahisi tu kuingia chuo kikuu, lakini najiuliza hawa waliopata DDE ambayo wao ni div 4
Mkuu kuingia chuo inahitaji principle mbili na principle kwa sasa ni D tofauti na zamani ilikuwa E
Imetoka TCU guide book 2014/15..For the new grading system principal pass is between A and D.
D ni principle pass
CCE mwaka huu ni 4 sijui inakuwaje chuo hapa??
Sent from my iPhone 5 using JamiiForums