Uchanganuzi wa Matokeo ya ufaulu wa kwenda Chuo Kikuu

Uchanganuzi wa Matokeo ya ufaulu wa kwenda Chuo Kikuu

dullyhami

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
560
Reaction score
147
Habari zenu wadau.

Matokeo ya form 6 ndio yameshatoka na tumeshuhudia mabadiliko makubwa ya alama za ufaulu, kwa mda uliobaki naomba tusaidiane ufafanuzi wa Kuingia Chuo Kikuu kwa kutumia mfumo wa alama mpya za ufaulu.

Kwa mfano, mtu amepata DDE div 4 ataingiaje chuo Kikuu...?

nawakilisha:
 
Habari zenu wadau:
Matokeo ya form 6 ndio yameshatoka na tumeshuhudia mabadiliko makubwa ya alama za ufaulu, kwa mda uliobaki naomba tusaidiane ufafanuzi wa Kuingia Chuo Kikuu kwa kutumia mfumo wa alama mpya za ufaulu
Kwa mfano:
mtu amepata DDE div 4 ataingiaje chuo Kikuu...?

nawakilisha:

Binafsi sijafuatilia sana ila wenye mamlaka ya kuweka vigezo vya kuingia chuo kwa kila mwaka ni TCU.

Huwa wanatoa mwongozo kupitia tovuti yao na hugawa pia vitabu vya mwongozo sehemu mbalimbali nchini. Tembelea tovuti ya TCU huenda ukapata chochote.
 
nakumbuka mwaka wangu, EED ni div 3 na ni rahisi tu kuingia chuo kikuu, lakini najiuliza hawa waliopata DDE ambayo wao ni div 4 itakuwajee....?
 
nakumbuka mwaka wangu, EED ni div 3 na ni rahisi tu kuingia chuo kikuu, lakini najiuliza hawa waliopata DDE ambayo wao ni div 4 itakuwajee....?

TCU watatoa mwongozo hivi karibuni kabla ya muda wa maombi ya chuo kuanza.
 
kuna madogo wana D D C hila wana Div 4 yani full maigizo hii big results wakati zama zetu hapo mtu unacheka tu mpaka jino la mwisho
 
kuna madogo wana D D C hila wana Div 4 yani full maigizo hii big results wakati zama zetu hapo mtu unacheka tu mpaka jino la mwisho

Ngoja waziri mwenye dhamana atakuja kututangazia kua waliopata div 1, 2, 3 na 4 wote wanaingia chuo. Kivumbi sasa huo muziki wa chuo watauweza?
 
Ngoja waziri mwenye dhamana atakuja kututangazia kua waliopata div 1, 2, 3 na 4 wote wanaingia chuo. Kivumbi sasa huo muziki wa chuo watauweza?

Jamaaaa wanachezea sana elimu ya bongo kweli tanzania inabidi iingie kwenye maajabu saba ya dunia
 
Jamaaaa wanachezea sana elimu ya bongo kweli tanzania inabidi iingie kwenye maajabu saba ya dunia

Yaani ukijaribu kuipata picha halisi ya wasomi wajao miaka kama 15 huko mbele sijui watakua na elimu ya aina gani vichwani mwao?

Hii ni operesheni tokomeza elimu nchini, halafu eti tupambane kwenye soko la ajira na miradi na biashara kwenye anga za kimataifa, huu ni utani.
 
CCE mwaka huu ni 4 sijui inakuwaje chuo hapa??

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Mwaka huu Principal ni C kwenda juu,
D ni subsidiary na E ni failure.
Hivyo wote wenye div 1, two na three wana qualify kwenda chuo kwani wana angalau principal 2 na subsdiary 1.

Wenye chini ya principal 2 na subsidiary 1 wamepewa div 1V bila points zozote.
 
  • Thanks
Reactions: keh
Habari zenu wadau:
Matokeo ya form 6 ndio yameshatoka na tumeshuhudia mabadiliko makubwa ya alama za ufaulu, kwa mda uliobaki naomba tusaidiane ufafanuzi wa Kuingia Chuo Kikuu kwa kutumia mfumo wa alama mpya za ufaulu
Kwa mfano:
mtu amepata DDE div 4 ataingiaje chuo Kikuu...?

nawakilisha:[/Q

Principle inaanzia c mkuu lkn D ni sawa na S ya zamani na E ni sawa na F
 
Nimesoma guide yao tcu wanasema convert big results to old results
A-A weights yake 5
B+ to B weights yake 4
B to C weights yake 3
C to D weights yake 2
D to E weights yake 1
E to S weights yake 0.5
F to F weights yake 0

Sasa wamefanya nini si bora wagewawekea div 3 wale wote waliopata D D C wote kuliko kuweka 4 na minimum points wanataka 2.0
 
Mwaka huu Principal ni C kwenda juu,
D ni subsidiary na E ni failure.
Hivyo wote wenye div 1,two na three wana qualify kwenda chuo kwani wana angalau principal 2 na subsdiary 1.
Wenye chini ya principal 2 na subsidiary 1 wamepewa div 1V bila points zozote.

Imetoka TCU guide book 2014/15..For the new grading system principal pass is between ‘A and D.
D ni principle pass
 
Nimesoma guide yao tcu wanasema convert big results to old results
A-A weights yake 5
B+ to B weights yake 4
B to C weights yake 3
C to D weights yake 2
D to E weights yake 1
E to S weights yake 0.5
F to F weights yake 0

Sasa wamefanya nini si bora wagewawekea div 3 wale wote waliopata D D C wote kuliko kuweka 4 na minimum points wanataka 2.0

Majanga majanga majanga, sasa kumbe hizi ni gredi za brn? TCU wanaendelea na mfumo uleule wa zamani? Mgongano wa kitaaluma na kitaalam

Mdau hapa chini nadhani naye atakua amepata jawabu la swali lake.

Ahsante for info mkuu!
Sasa,mbona wenye D flat wamepewa div 4?
 
Mwaka huu Principal ni C kwenda juu,
D ni subsidiary na E ni failure.
Hivyo wote wenye div 1,two na three wana qualify kwenda chuo kwani wana angalau principal 2 na subsdiary 1.
Wenye chini ya principal 2 na subsidiary 1 wamepewa div 1V bila points zozote.

wenye C' ?
 
nakumbuka mwaka wangu, EED ni div 3 na ni rahisi tu kuingia chuo kikuu, lakini najiuliza hawa waliopata DDE ambayo wao ni div 4

Mkuu kuingia chuo inahitaji principle mbili na principle kwa sasa ni D tofauti na zamani ilikuwa E
 
Back
Top Bottom