Bwege2030
Member
- May 10, 2025
- 97
- 197
Womenomics Tanzania 2025.
~Utafiti kuhusu Wanawake katika Nguvu Kazi, Biashara, na Uongozi.
Takwimu Muhimu (2025)
80%: Kiwango cha ushiriki wa wanawake katika nguvu kazi.
54%: Idadi ya biashara ndogo na za kati (MSMEs) zinazomilikiwa na wanawake.
Dola bilioni 1.7Nakisi ya mtaji kwa wajasiriamali wanawake.
36%: Idadi ya wanawake bungeni (2020–2025).
0.736: Alama ya Tanzania katika faharisi ya usawa wa kijinsia Nafasi ya 55 kati ya 148.
6.1%:Utabiri wa ukuaji wa uchumi (GDP) kwa mwaka 2026.
🎯Tanzania ipo katika njiapanda muhimu ya kiuchumi. Ikiwa na ushiriki wa wanawake katika nguvu kazi wa 80% juu ya wastani wa Afrika wa 63% na umiliki wa biashara wa 54%, msingi wa ukuaji jumuishi upo.
🎯Hata hivyo, vikwazo vya kimfumo kama nakisi ya mtaji ya dola bilioni 1.7, sheria za mirathi zenye ubaguzi na saa 4.6 za kazi za nyumbani zisizolipwa kila siku vinazuia wanawake kugeuza nguvu kazi yao kuwa tija kamili ya kiuchumi.
Kuwawezesha wanawake kiuchumi si swala la usawa tu, bali ni nyenzo muhimu ya kukuza uchumi.
Kuziba mapengo ya kijinsia katika kilimo na biashara kunaweza kuongeza ukuaji wa GDP kwa asilimia 2.5–4.5 kila mwaka, jambo litakalofikisha ukuaji wa uchumi wa taifa kati ya 7–8% ifikapo mwaka 2030.
🎯Tanzania ni uchumi wa pili kwa ukubwa Afrika Mashariki ukiwa na GDP ya takriban dola bilioni 79 (2024). Ingawa taifa limefikia hadhi ya nchi ya kipato cha kati (chini)ubaguzi wa kijinsia kiuchumi unarudisha nyuma kasi ya maendeleo.
Maendeleo ya Faharisi ya Usawa wa Kijinsia 2016–2025.
🎯Tanzania imepiga hatua kutoka alama 0.718 mwaka 2016 hadi 0.736 mwaka 2025.
Ushiriki wa Kiuchumi 73.6% Nafasi ya 55 duniani.
Elimu: 94.9% Karibu na usawa kamili.
Afya: 96.0% Matokeo bora sana.
Uwezeshaji wa Kisiasa 22.5% Eneo lenye upungufu mkubwa zaidi.
Na Afrika Mashariki (2024)
Rwanda (0.766)Kiongozi wa EAC.
Burundi (0.768).
Tanzania (0.734).
Kenya (0.705).
Uganda (0.691).
🎯Ingawa ushiriki ni mkubwa (80%),wanawake wengi wamejikita katika kilimo cha kujikimu na biashara ndogo zisizo rasmi.
Muundo wa Ajira Kulingana na ILFS 2020/21.
Kilimo cha Kujikimu Wanawake 53.7% dhidi ya Wanaume 38.2%.
Biashara na Huduma Zisizo rasmi,Wanawake 24.5% dhidi ya Wanaume 16.8%.
Ajira Rasmi za Kutwa Wanawake 28% dhidi ya Wanaume 44% Pengo muhimu la 16%.
Vikwazo mzigo wa kazi za nyumbani zisizolipwa 78% ya wanawake huathirika.
Ukosefu wa mitaji 52%.
Ubaguzi katika kuajiri na ukosefu wa sheria dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia sekta binafsi.
🎯Wanawake wanamiliki 54% ya biashara ndogo na za kati (MSMEs) nchini Tanzania, lakini wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukuaji.
Pengo la Kifedha Dola bilioni 1.7 zinahitajika kuziba pengo la mitaji.
Wanawake 23% pekee ndio hupata mikopo ya benki, dhidi ya 41% ya wanaume.
Sheria na BiasharaAlama ya Tanzania katika kumiliki mali ni 40/100 kutokana na sheria za kimila zinazozuia wanawake kurithi ardhi au mali jambo linalozuia upatikanaji wa dhamana za mikopo.
🎯rais wa kwanza mwanamke, jambo lililofungua milango ya mageuzi.
Hata hivyo, uwakilishi wa moja kwa moja bado ni mdogo.
Viti Maalum Idadi kubwa ya wabunge wanawake takriban 113 wanatokana na viti maalum.
Vyanzo vya Data Benki ya Dunia, ILO, WEF, IPU, NBS, UN Women, na TICGL.