comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
To every action there is an equal and opposite reaction. Hii kanuni inaonekana kuelezea vizuri mahusiano katika ya wafuasi wa CCM na wa CHADEMA juu ya jinsi wanavyohusiana na viongozi wao. Wale wa CHADEMA wanawaita wenzao wa CCM chawa na sasa wa CCM wamewaita wenzao kupe.
Ulinganisho huu ni sawa kabisa kwani chawa na kupe huishi kwa viumbe. Chawa huishi kwa binadamu wakati kupe huishi kwa wanyama wafugwao na wanaweza pia kuishi kwa binadamu. Tofauti ya chawa ni kuwa binadamu akipoteza uhai wanahama haraka sana; ila kupe hahami anabaKi pale pale na kufia hapo ikibidi.
Ni stahiki ya kila mtu kuwa na maoni yupi afadhali chawa au kupe.