Enyampisakiniga Eyenyela
Member
- Aug 14, 2025
- 14
- 54
wakuuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza...tusitafute mchawi wa kwanini tunashindwa na timu kama Madagscar au Sudan nchi ambazo hazipo kwenye top 20 ya ligi bora za Africa kwa wachezaji wa nyumbani..
kilichotugharimu
1. Benchi la ufundi buree hamna kitu pale...watu wamewekwa pale kisiasa ..
2. Timu inacheza utadhani haina mwalimu..(tunaelewa maumbile ya wachezaji wetu ni madogo/afya mgogoro ila kila kila mtu akipata mpira piga juu /mbele .aisee na mengine mengi hapa sijaongea kitaalamu zaidi
3. Machawa wapuuzi hasa vyombo vya habari na wachabuzi mbuzi wa redio zetu kuwapa walimu na wachezaji kilemba cha ukoka upuuzi mtupu