Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Kwamfano kwenye makala haya natetea nini?Ni kweli, hata wewe katiba chakavu ya 1977 imekufanya uwe chawa. Unatetea tu ovyo ujinga unaofanywa na huyo mzanzibar ilihali Tanganyika ni nchi yako na watanganyika ni ndugu zako.
Hapo suala ni tume ya uchaguzi kuwa huru ili wananchi wachague wamtakae.. sema ni hoja nzuri kwamba kwa waombaji fomu/watia nia at least wawe na degree na kuendelea...Point nzuri mkuu ningelikuwa rais ningelivunja bunge nikaanza mchakato wa kuchagua wabunge upya at least wawe na degree au masters
Wewe umeacha uchawa lini kwani? Au umesahau nyuzi zako unazoziandika za kuitetea serikali dhalimu? Mimi binafsi lazima nikushangae leo kuja kuuponda huo uchawa ili hali ww ni mmojawapo, How comes kuupondea mfumo unaouishi ww mwenyewe? Lazima tuhoji. Au phd holder una definition yako binafsi ya uchawa?Kwamfano kwenye makala haya natetea nini?
Typical myopic mindset!
Na haya ndio mawazo finyu tunayoyapinga, KUPINGA kila kitu hakukufanyi kuwa mtu makini, hiyo ni dalili ya tatizo. Tafakari; Je, tupinge mradi wa SGR kwasababu tu ww hupendi CCM?Wewe umeacha uchawa lini kwani? Au umesahau nyuzi zako unazoziandika za kuitetea serikali dhalimu? Mimi binafsi lazima nikushangae leo kuja kuuponda huo uchawa ili hali ww ni mmojawapo, How comes kuupondea mfumo unaouishi ww mwenyewe? Lazima tuhoji. Au phd holder una definition yako binafsi ya uchawa?
😂😂😂. Nani wa kuleta katiba mpya? Ccm hawa wengine? . Bila AK47 ccm haitoki madarakaniNaomba nisitie neno hapa, nisije nikaharibu mchakato wa katiba mpya....🍺
Mfumo wa uchawa aliye uleta ni magufuli hoyo ndiyo legacy mbaya aliyo iacha huyo baba mbali na mazuri yake mengi lakini kaliacua taifa na mambo mengi ya hovyo ambayo ndiyo hayo yanayo endelezwa hadi sasa baada ya kuthibitika kuwa yanawezekanaKama kuna jambo kwa sasa ambalo kama Taifa tunakubaliana, ni kuwa UCHAWA ndilo tatizo linalokua kwa kasi zaidi katika siasa zetu na sekta ya utumishi wa umma.
Athari za uchawa ni bayana; kwakuzitaja chache ni uteuzi wa watu wenye sifa duni, upandishwaji vyeo watu wasio stahili, kushuka kwa uwajibikaji, kushuka kwa uwazi na ukweli, matumizi mabaya ya madaraka n.k
Pamoja na athari hizi nilizozitaja kuwa bayana, sote ni mashahidi wa hali halisi ilivyo sasa. Sio siri uchawa umekuwa ni mkakati rasmi wa baadhi ya wenzetu kutafuta vyeo, kulinda nafasi walizonazo na hata kufanikisha agenda zilizobeba maslahi yao binafsi.
Swali kubwa tunalopaswa kujiuliza tumefikaje hapo? Kwa maoni yangu chimbuko la uchawa ni katiba yetu. Katiba imerundika madaraka karibu yote ya kuteua, kutengua, kupandisha, kushusha cheo n.k mikononi mwa mtu mmoja, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jaribu kutafakari, ni njia gani mtanzania wa kawaida ataitumia ili ateuliwe kuwa mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, mkurugenzi wa halmashauri, mkurugenzi wa shirika la umma, mwenyekiti wa bodi, n.k. Jibu linabaki kuwa ni kwa KUMPENDEZA RAIS!
Huo ndio mzizi halisi wa UCHAWA. Kila mtu anafatuta kumpendeza Rais, ili aonekane na Rais, maisha yake yasonge mbele. Katika mazingira haya tutawalaumu bure wasomi wetu, watendaji wetu na hata wanasiasa wetu. Kwakuwa mwisho wa siku wanatafuta maisha na fursa ya kuyapata hayo maisha katiba imempa Rais.
Kama kweli tunataka kumaliza tatizo la UCHAWA jibu lake ni kupunguza madaraka ya Rais kuteua kila mtu. Katiba mpya iweke utaratibu wa watu kupanda vyeo kwa weredi, nidhamu na utendaji wao. Vyeo vipatikane kwa mchakato wa wazi wa kushindana, kutolewa kwenye cheo kuwekewe utaratibu wa wazi unaofahamika. Rais ateue tu mawaziri, naibu mawaziri na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Tukifanya hivyo tutapunguza sana tatizo la uchawa.
Magu aliuongezea 🔥 ila muasisi mwenyewe jakayaMfumo wa uchawa aliye uleta ni magufuli hoyo ndiyo legacy mbaya aliyo iacha huyo baba mbali na mazuri yake mengi lakini kaliacua taifa na mambo mengi ya hovyo ambayo ndiyo hayo yanayo endelezwa hadi sasa baada ya kuthibitika kuwa yanawezekana
Hongera kwa kuwa mmoja ya wanaccm wachache wenye udhubutu wa kuongelea udhaifu wa katiba zama hizi. Kimsingi katiba hii ilikuwa na mapungufu makubwa ya wazi, hasa hilo eneo la madaraka ya urais. Nakumbuka hata Nyerere alikiri hadharani kuwa katiba hii akipatikana rais dictator hali itakuwa mbaya sana. Magufuli ndio alikuja kudhihirisha hilo, na kwa kiwango kikubwa ndio alikomaza tabia ya uchawa hapa nchini kwa sasa.Kama kuna jambo kwa sasa ambalo kama Taifa tunakubaliana, ni kuwa UCHAWA ndilo tatizo linalokua kwa kasi zaidi katika siasa zetu na sekta ya utumishi wa umma.
Athari za uchawa ni bayana; kwakuzitaja chache ni uteuzi wa watu wenye sifa duni, upandishwaji vyeo watu wasio stahili, kushuka kwa uwajibikaji, kushuka kwa uwazi na ukweli, matumizi mabaya ya madaraka n.k
Pamoja na athari hizi nilizozitaja kuwa bayana, sote ni mashahidi wa hali halisi ilivyo sasa. Sio siri uchawa umekuwa ni mkakati rasmi wa baadhi ya wenzetu kutafuta vyeo, kulinda nafasi walizonazo na hata kufanikisha agenda zilizobeba maslahi yao binafsi.
Swali kubwa tunalopaswa kujiuliza tumefikaje hapo? Kwa maoni yangu chimbuko la uchawa ni katiba yetu. Katiba imerundika madaraka karibu yote ya kuteua, kutengua, kupandisha, kushusha cheo n.k mikononi mwa mtu mmoja, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jaribu kutafakari, ni njia gani mtanzania wa kawaida ataitumia ili ateuliwe kuwa mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, mkurugenzi wa halmashauri, mkurugenzi wa shirika la umma, mwenyekiti wa bodi, n.k. Jibu linabaki kuwa ni kwa KUMPENDEZA RAIS!
Huo ndio mzizi halisi wa UCHAWA. Kila mtu anafatuta kumpendeza Rais, ili aonekane na Rais, maisha yake yasonge mbele. Katika mazingira haya tutawalaumu bure wasomi wetu, watendaji wetu na hata wanasiasa wetu. Kwakuwa mwisho wa siku wanatafuta maisha na fursa ya kuyapata hayo maisha katiba imempa Rais.
Kama kweli tunataka kumaliza tatizo la UCHAWA jibu lake ni kupunguza madaraka ya Rais kuteua kila mtu. Katiba mpya iweke utaratibu wa watu kupanda vyeo kwa weredi, nidhamu na utendaji wao. Vyeo vipatikane kwa mchakato wa wazi wa kushindana, kutolewa kwenye cheo kuwekewe utaratibu wa wazi unaofahamika. Rais ateue tu mawaziri, naibu mawaziri na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Tukifanya hivyo tutapunguza sana tatizo la uchawa.
Kama kuna jambo kwa sasa ambalo kama Taifa tunakubaliana, ni kuwa UCHAWA ndilo tatizo linalokua kwa kasi zaidi katika siasa zetu na sekta ya utumishi wa umma.

Daktari!Kama kuna jambo kwa sasa ambalo kama Taifa tunakubaliana, ni kuwa UCHAWA ndilo tatizo linalokua kwa kasi zaidi katika siasa zetu na sekta ya utumishi wa umma.

Hakika na pendekeza kwenye katiba mpya uchawa ipewe afhamu ya juu zaidi pale mahaksma ikiweza kimkuta mtu na hatia hiyo,na pia iwe sababu ya kufutwa kazi na kupewa zuio la kufanya kazi katika utumishi wa umma ama kujihusisha na siasa kwa kipindi kisichopungua miaka mitano.Kama kuna jambo kwa sasa ambalo kama Taifa tunakubaliana, ni kuwa UCHAWA ndilo tatizo linalokua kwa kasi zaidi katika siasa zetu na sekta ya utumishi wa umma.
Athari za uchawa ni bayana; kwakuzitaja chache ni uteuzi wa watu wenye sifa duni, upandishwaji vyeo watu wasio stahili, kushuka kwa uwajibikaji, kushuka kwa uwazi na ukweli, matumizi mabaya ya madaraka n.k
Pamoja na athari hizi nilizozitaja kuwa bayana, sote ni mashahidi wa hali halisi ilivyo sasa. Sio siri uchawa umekuwa ni mkakati rasmi wa baadhi ya wenzetu kutafuta vyeo, kulinda nafasi walizonazo na hata kufanikisha agenda zilizobeba maslahi yao binafsi.
Swali kubwa tunalopaswa kujiuliza tumefikaje hapo? Kwa maoni yangu chimbuko la uchawa ni katiba yetu. Katiba imerundika madaraka karibu yote ya kuteua, kutengua, kupandisha, kushusha cheo n.k mikononi mwa mtu mmoja, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jaribu kutafakari, ni njia gani mtanzania wa kawaida ataitumia ili ateuliwe kuwa mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, mkurugenzi wa halmashauri, mkurugenzi wa shirika la umma, mwenyekiti wa bodi, n.k. Jibu linabaki kuwa ni kwa KUMPENDEZA RAIS!
Huo ndio mzizi halisi wa UCHAWA. Kila mtu anafatuta kumpendeza Rais, ili aonekane na Rais, maisha yake yasonge mbele. Katika mazingira haya tutawalaumu bure wasomi wetu, watendaji wetu na hata wanasiasa wetu. Kwakuwa mwisho wa siku wanatafuta maisha na fursa ya kuyapata hayo maisha katiba imempa Rais.
Kama kweli tunataka kumaliza tatizo la UCHAWA jibu lake ni kupunguza madaraka ya Rais kuteua kila mtu. Katiba mpya iweke utaratibu wa watu kupanda vyeo kwa weredi, nidhamu na utendaji wao. Vyeo vipatikane kwa mchakato wa wazi wa kushindana, kutolewa kwenye cheo kuwekewe utaratibu wa wazi unaofahamika. Rais ateue tu mawaziri, naibu mawaziri na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Tukifanya hivyo tutapunguza sana tatizo la uchawa.
Na haya ndio mawazo finyu tunayoyapinga, KUPINGA kila kitu hakukufanyi kuwa mtu makini, hiyo ni dalili ya tatizo. Tafakari; Je, tupinge mradi wa SGR kwasababu tu ww hupendi CCM?
KUSIFU kila kitu kwa lengo la kufurahisha wakubwa bila kujali hali halisi ndilo tatizo tunalopambana nalo.
Mtu muungwana hatutegemei APINGE kila kitu au ASIFU kila kitu, bali awe mkweli kwa utashi wake kuwa na MAONI HURU.