Uchawa unaangamiza Taifa

Ndio maana ipo haja ya kuutambua uchawa kama adui wa taifa wa nyakati za sasa.
 
Ndio Tunu ya taifa kwa sasa
 
M23 ninyooshe haoo wakata mauno woteeeee muda wote wao ni kukata mauno uchawa na mambo ya usanii upuz wanaweka kipaumbeleeee
M23 ninyoosheeee

Ova
 
Ndio maana ipo haja ya kuutambua uchawa kama adui wa taifa wa nyakati za sasa.
Ndomana kongo wamekuwa legelege maana wao uchawaa ndy zaoo na kuna nchi moja inaelekea huko huko

Ova
 
Natafuta kozi ya uchawa, mwenye kujua chuo gani inapatikana,tufahamishane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…