ZINJANTHROPAZ
JF-Expert Member
- Aug 6, 2023
- 287
- 470
kama hujaelewa ucwe una quote mambo,cpendi ujinga mm na uchawa wap na wp?Kama za kichawa bora wapite nazo huko huko juukwaju
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama hujaelewa ucwe una quote mambo,cpendi ujinga mm na uchawa wap na wp?Kama za kichawa bora wapite nazo huko huko juukwaju
Ndio maana ipo haja ya kuutambua uchawa kama adui wa taifa wa nyakati za sasa.Uchawa unalipa mkuu, sema hujapata hiyo nafasi adhimu !! Kuna machawa wenye maisha standard kuliko mfanyakaz/mtumishi mwenye salary yenye tarakimu sita !! Na wengine wamejenga, wamewekeza kwa huo huo uchawa ! Tuishi humo, fanya unachoona kinakufaa, usimfurahishe binadam mwenzio kuogopa atakuonaje n.k !
Case study,,,mengele, mwijaku , baba levo na walee wenzetu wengine
Ndio Tunu ya taifa kwa sasaHakuna jambo linaondoa UTU WA MTU kama hichi kinachoitwa uchawa,Uchawa ndani yake umeficha maovu,umeficha ukweli,umeficha uzalendo na umeficha uMungu,kwa tafsiri ya chawa ni mtu aliyetayari kutokemea uovu au jambo lisiloenda sawa kwa sababu tu ananufaika.
Chawa akimganda mtu haijalishi aliyegadwa anaumia kiasi gani bali chawa anaangalia maslahi yake binafsi ni jinsi gani ataendelea kufyonza Damu,hasara za Uchawa kwa vijana ni kubwa sio tu kwa vijana Bali kwa Taifa kwa ujumla.Hata ma kanisani kuna uchawa sikuhizi,ifike mahali uchawa uwe ni dhambi kama ilivyo dhambi ya Uzinzi....
Ndomana kongo wamekuwa legelege maana wao uchawaa ndy zaoo na kuna nchi moja inaelekea huko hukoNdio maana ipo haja ya kuutambua uchawa kama adui wa taifa wa nyakati za sasa.
Huyu nani wajameni?Chawa wa mama, mitano tenaView attachment 3218812