Uchawa unaangamiza Taifa

Uchawa unaangamiza Taifa

Uchawa unalipa mkuu, sema hujapata hiyo nafasi adhimu !! Kuna machawa wenye maisha standard kuliko mfanyakaz/mtumishi mwenye salary yenye tarakimu sita !! Na wengine wamejenga, wamewekeza kwa huo huo uchawa ! Tuishi humo, fanya unachoona kinakufaa, usimfurahishe binadam mwenzio kuogopa atakuonaje n.k !

Case study,,,mengele, mwijaku , baba levo na walee wenzetu wengine
Ndio maana ipo haja ya kuutambua uchawa kama adui wa taifa wa nyakati za sasa.
 
Hakuna jambo linaondoa UTU WA MTU kama hichi kinachoitwa uchawa,Uchawa ndani yake umeficha maovu,umeficha ukweli,umeficha uzalendo na umeficha uMungu,kwa tafsiri ya chawa ni mtu aliyetayari kutokemea uovu au jambo lisiloenda sawa kwa sababu tu ananufaika.

Chawa akimganda mtu haijalishi aliyegadwa anaumia kiasi gani bali chawa anaangalia maslahi yake binafsi ni jinsi gani ataendelea kufyonza Damu,hasara za Uchawa kwa vijana ni kubwa sio tu kwa vijana Bali kwa Taifa kwa ujumla.Hata ma kanisani kuna uchawa sikuhizi,ifike mahali uchawa uwe ni dhambi kama ilivyo dhambi ya Uzinzi....
Ndio Tunu ya taifa kwa sasa
 
M23 ninyooshe haoo wakata mauno woteeeee muda wote wao ni kukata mauno uchawa na mambo ya usanii upuz wanaweka kipaumbeleeee
M23 ninyoosheeee

Ova
 
Natafuta kozi ya uchawa, mwenye kujua chuo gani inapatikana,tufahamishane
 
Back
Top Bottom