Mwalimu pia aliwashtukia Machawa wake baada ya kuwaambia kuwa anang'atuka.Najaribu kuwaza kama Nyerere angekuwepo hii tabia ya uchawa angeisemeaje?
Aahaa, naona kumbe uchawa ni sawa na rushwa, hivyo TAKUKURU ipambane na janga la uchawa.upo sahihi kwa sababu target ya uchawa ni kupata teuzi ,au aina fulani ya upendeleo kwenye angle ambayo yawezekana hakustahili .
tunaona sasaivi kila mtu mama ! mama! mama!mama! ili kuongeza uwezekano wa upendeleo kwenye nyazifa teuI n.k
uchawa will destroy our beautiful TANZANIA ever
Vijana wanaoshabikia ccm ni wanashida hasa compos mentis.Hii tabia ya kila kitu mama mama mama inachosha kuchusha kuboa na kutia kinyaa.
Unakuta kijana ana nguvu zake safi tu badala achape kazi atoboe yeye anashabikia mtu ili apate kitu.
Ukiona WALIMU WANAFUNZI WA vyuo nk wanatengeneza makundi ya whasap na kujinasibisha na mama sio kwamba wanampenda hapana wanasaka fursa.
Nyerere aliwahi kuonya juu ya kujipendekeza kunavyoweza kuzaa mauti ya mtu na taifa. Naishauri IDARA iiuwe hii tabia ya unafiki inaliangamiza taifa.
Utawala wa kiimla daima huzaa tabia ya uchawa na chawa. Enzi za Nyerere chawa walishamiri ila walikuwa wastaarabu zaidi ya hawa kizazi hiki. Kuna kijana aliyeitwa Seth Benjamin, alitembea kwa miguu kutoka Butiama hadi Dar (hakufika) eti kuunga mkono azimio la Arusha. Amesahaulika kama lilivyosahaulika azimio aliliolifiaNajaribu kuwaza kama Nyerere angekuwepo hii tabia ya uchawa angeisemeaje?