Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania?
Soma Kwanini kusiwe na Shirika la Meli la Muungano ili kuepuka usajili wa kiholela?
Meli zinaandikishwa huko Zanzibar halafu zinaenda kutumika kwa kubeba magendo na madawa. Tuwaulize ni meli ngapi zinatembea na bendera ya Tanzania. Machawa wanahabari hata hili hawaulizi
Pia soma El Salvador yakamata tani 6.6 za cocaine, meli iliyobeba unga ina bendera ya Tanzania!