Uchawi 101: Madini kutoka kwa magenius wa Quora na namna ya kuudhibiti

Hapo tu kwenye rozari ya bikira Maria ndipo nikaamua kuachana na hi mada.ila kuhusu kuwa sijui na positive mind nitajaribu shukran
 
baada ya kutoka gamboshi kwa bibi.
nimejifunza kitu fulani.

kila mtu uzaliwa na majini,mizimwi na urithi ambao inategemea itagawana sehemu gani.

mfano asili yenu,mizimu ya eneo,majini ya maeneo na n.k

unaweza kushangaa umezaa mtoto mchawi au mganga.

haya yote yanatokea kulinga serikali za hizo nilizotaja
 
kitu kingine, ma genius wa quora wameshauri tuwe tunafanya sana MEDITATION

Meditation inasaidia sana kutujaza positive energy na inasaidia sana kujilinda dhidi ya negative energy yoyote ambayo imenuiwa kwako
 
Hapo tu kwenye rozari ya bikira Maria ndipo nikaamua kuachana na hi mada.ila kuhusu kuwa sijui na positive mind nitajaribu shukran
Kama wewe sio mkatoliki huwez elewa umuhimu wa kusali Rozari
 
Nacomment ili nirudi kusoma baadae
 
Usifuatishe mkumbo wa wazung,waafrika Tuishi humu

Tunguli
Hirizi
Kuchanja Chale
Kuvunja Nazi
Zindiko
Kujifukiza
Our legacy!!🤼🤼
 
 
Ok sawa. Halafu kwenye upande wa chumvi mkuu hii imekaaje haipingani na dini?
Yesu mwenyewe alitumia chumvi kutakasa maji yaliyopooza.. Maji ya baraka nayo yanatengenezwa na chumvi
 
Usifuatishe mkumbo wa wazung,waafrika Tuishi humu

Tunguli
Hirizi
Kuchanja Chale
Kuvunja Nazi
Zindiko
Kujifukiza
Our legacy!![emoji1721][emoji1721]
Kuna ku share ujuzi na maarifa
 
Nimekuelewa haswa hata hizo miti shamba inakuwa ni kama kigezo cha kukazia tu mengi hayana nguvu ki uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…