Uchawi: Aliyefariki kwa ajali miaka 3 iliyopita aonekena hai mkoani Geita

Hii inaitwa unverified story.

Kwanza kabisa death certificate iko wapi? Nani kaitoa? Alihakiki vipi kifo? Kuna DNA evidence ya kumuunganisha anayedaiwa alikufa na huyu? Kuna chain of custody ya mwili?
Kama ndugu waliutambua vema mwili wa marehemu vizuri, maana huenda haukuharibika sana wakati wa ajari, kisha wakauzika halafu likatokea tukio la hivyo, napo kisayansi ikoje?.
 
Kama ndugu waliutambua vema mwili wa marehemu vizuri, maana huenda haukuharibika sana wakati wa ajari, kisha wakauzika halafu likatokea tukio la hivyo, napo kisayansi ikoje?.
Umeanza kwa neno "kama".

Mpaka hapo huna uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…