Uchawi: Aliyefariki kwa ajali miaka 3 iliyopita aonekena hai mkoani Geita

Uchawi: Aliyefariki kwa ajali miaka 3 iliyopita aonekena hai mkoani Geita

Hii inaitwa unverified story.

Kwanza kabisa death certificate iko wapi? Nani kaitoa? Alihakiki vipi kifo? Kuna DNA evidence ya kumuunganisha anayedaiwa alikufa na huyu? Kuna chain of custody ya mwili?
Umewahi ishi mikoa ya wasukuma ?
 
Umewahi ishi mikoa ya wasukuma ?
Mkuu,

Mimi mwenyewe Msukuma, kwetu Usukumani, na nishawahi kuishi huko.

Wasukuma ndugu zangu naishi nao maisha yote.

Nawajua wote Banegene, Bagosha, Babina, Basumba Batale, Bafumo, Balimi, Banamhala, Baaanike, Bakiikolo, Bazunya, Bachilochilo.

What is your point?

Maswali yangu hayajajibiwa.
 
Mkuu,

Mimi mwenyewe Msukuma, kwetu Usukumani, na nishawahi kuishi huko.

Wasukuma ndugu zangu naishi nao maisha yote.

Nawajua wote Babina, Basumba Batale, Bafumo, Balimi, Banamhala, Baaanike, Bakiikolo.

What is your point?

Maswali yangu hayajajibiwa.
Kwa nini nyie wasukuma wachawi sana ?
 
Kwa nini nyie wasukuma wachawi sana ?
Wasukuma unawaonea wao wanajionesha tamaduni zao, na wako wengi.

Hizo tamaduni zipo pote Tanzania.

Usukuma si sababu ya uchawi. Mimi Msukuma na siamini katika uchawi.

Imani za uchawi zinatokana na kukosa elimu na kushikikia tamaduni za kijinga.
 
Back
Top Bottom