Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nenda shungubweni/ boza mkuranga Kuna sehemu Kuna jiwe ambalo ukipiga picha halionekani kwenye camera watu huwaga wanaendaga happy kuomba utajiri na majini wazuri na wanafanikiwA nenda happy Kama uko serious
 
Miaka ya 2009 wakati nipo sekondari boarding mkoani Iringa. Siku moja usiku mda wa prepo nilitoka nje kupunga upepo, kwa macho yangu mawili nilishuhudia ungo(nilijua ni ungo kwani alekua ndani yake alibeba kitu chenye kutoa moto) ukipita juu ya paa la madarasa.

Mkuu endelea kutokuamini, HAYAJAKUKUTA.
 
Kuwepo ni kitu kingine na kuamini ni kitu kingine
 
Uliona kitu inawezekana, ila ukapata illusion labda kutokana na woga au tu mwanga ukaakisi vibaya kwasababu ilikua ni giza ikawa rahisi kupata illusion.
Hatukatai kwamba uliona mchawi, ila ilikua ni illusion na wala hakuwa mchawi kweli.
 
kama ndiyo hivyo fereshi, nani anataka mauzauza sasa bora nibaki kwenye kambi salama ya shetani
 
Uliona kitu inawezekana, ila ukapata illusion labda kutokana na woga au tu mwanga ukaakisi vibaya kwasababu ilikua ni giza ikawa rahisi kupata illusion.
Hatukatai kwamba uliona mchawi, ila ilikua ni illusion na wala hakuwa mchawi kweli.
Nilikua timamu mkuu na wala sikupatwa na illusion, kwa kuongezea sinaga uoga wa wachawi. Hivyo haibadiri maana kua hakuwa mchawi.
 
Nilikua timamu mkuu na wala sikupatwa na illusion, kwa kuongezea sinaga uoga wa wachawi. Hivyo haibadiri maana kua hakuwa mchawi.
Kuona illusion sio hadi uwe umelewa.
Inatokea. Ni hali ya kawaida inayotokea mara chache kwenye maisha yako.
Na ikitokea sio rahisi kugundua kama ni illusion au ni reality.
Hivyo, wala usuogope. Mda wa illusion wewe ubongo wako unapokea kama reality
Wala sisemi unadanganya, ila uone kuwa ni hali ya kawaida 🙂.
 
I have meets with this guys,they are so cool and humble "THIS IS CREATURES OF SPECIAL PRINCIPLES...DO YOU WISH TO SEE? ARE YOU CLEAN ENOUGH?,DO YOU WANT TO POSSESS ONE?I CAN GIVE YOU A LITTLE ONE.
N.b:-I'm in study and research of this dudes...!
MUNIOOO WAKO[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…