Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nini. Nani ambaye anaweza kutupa proof uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?

Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.

Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje kama yapo.
Majini na uchawi ni dhana za kufikilika

Eti mchawi anatembea angani kwenye ungo.. Uongo tu.. Waambie hayo majini yawape pesa.. Wanaojiita waganga au wenye majini maskini km nini.
Tunaweza kuuprove upepo..
Hayo majini yenu mbn hamuwezi.
Hata hawa wanaopandisha majini/mashetani hakuna chochote wanaumwa akili au km wanawake wanaumwa hysteria.

Lete Proof hapa.

Hakuna cha majini wala uchawi
Kumaanisha hakuna Mungu wala shetani maana ni invisible energy pia
 
Nitajie majina yako matatu au jina lake na la mama yako ili nikutumie kifurushi Cha mwaka mzima
 
Vyote unavyovisikia vipo hata kama hujawahi kuvishuhudia mkuu. Kuna mengi zaidi ya hivyo! Na kuna sayansi kubwa tu pia
 
Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nini. Nani ambaye anaweza kutupa proof uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?

Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.

Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje kama yapo.
Majini na uchawi ni dhana za kufikilika

Eti mchawi anatembea angani kwenye ungo.. Uongo tu.. Waambie hayo majini yawape pesa.. Wanaojiita waganga au wenye majini maskini km nini.
Tunaweza kuuprove upepo..
Hayo majini yenu mbn hamuwezi.
Hata hawa wanaopandisha majini/mashetani hakuna chochote wanaumwa akili au km wanawake wanaumwa hysteria.

Lete Proof hapa.

Hakuna cha majini wala uchawi
Hujawahi hata kushuhudia tu tukio lenye kuhusishwa na kupandisha jini ili utueleza ni nini hasa huwa kinatokea ila matokeo yake unatoa majibu ya dhana kuwa pengine ni magonjwa ya akili au hysteria.

Tatizo hapa ni kwamba kila mtu anasimamia msimamo wake tu kivyovyote vile, huwezi kuja kusema hakuna uchawi halafu utegemee et mwengine ndio athibitishe na akishindwa ndio kwamba wewe upo sahihi.
 
Ndo maana ya kusema tembea uone umeishi dar maisha yako yote,utakuta.

Kama zambi wanatambua uchawi upo kwaiyo ukikamatwa wana mwita chief aje athibitishe maana chief lazima awe ni mchawi nae.

Ukikutwa ni mchawi wanakutoa uchawi afu unafungwa.

Kwa tulio zaliwa vijijini tunaelewa shughuri ya lamba lamba wakija kukamata wachawi watu wanavyo poteana.
Neno "lamba lamba "limenifanya nitambue pasipo shaka kule unakotokea mkuu, acha kabisa hao ni kitu kingine
 
Nilipokuwa darasa la nne/tano nilikuwa na muongozo mzuri sana shuleni.. ufahulu mzuri sana.. madaftari safi yaani nilikuwa kitoto fulani hivi cha mfano ,,, nakumbuka nilikuwa nikiitwa officin kama mfano watoto watukutu wakiitwa wazazi wao kwa makosa fulani fulani ..

Tulikuwa tukiishi nyumba moja ya kupanga na wazazi wetu huko mabibo .. wapangaji tulikuwa wengi wengi .. na kulikuwa na bibi mmoja ana mtoto wake ana umri unafanana na mimi.. na tulikuwa tupo sawa ki-darasa lakini hatukukuwa tukisoma shule moja..

Kwa mujibu wa mama anasema alikuwa akiadithia maendeleo yangu ya shule anapopata nafasi ya kukaa na huyo mama.. daah aliniponza kumbe bila ya kujua .. niliumwaga ugonjwa wa ajabu wakuu hakuna mfano na sijasikiaga mpaka leo mtu anaumwa ule ugonjwa tena wala kuona..

Usiku nilipokuwa nimelala nashituka usiku mkubwa saa kati ya saa 8 ,9 au 10 naanza kuwewe seka mithili ya haya mapicha ya mazombi wanavyokuwa wakitembea na kutetemeka sasa wawe wanaenda kasi zaidi yaani.. huwa naamka natetemeka naelekea kwa wazazi na kuwaamsha na hali hiyo ikiwa inaendelea wazee huwa wanaanza kunisomea mpaka hali inakata.. mimi huwa nalia sana baada ya hiyo hali kukata nawauliza wazazi hii ni nini? Wazazi hasa mama nae anaanza kulia hajui nini? Afanye hali ilidumu zaidi ya mwaka bila mafanikio yeyote tulienda hospital zaidi ya 6 lakini haku kuwa na tiba yeyote wazazi walikuwa wakiulizwa hamna magonjwa ya kurithi ninyi “ walikuwa wanasema yaani hakuna ugonjwa kama huo... haibu ilinikuta na shuleni nilipitiwa kwa kulala ugonjwa ukanikuta akaenda kuitwa mwalimu... daaah acheni tu.. mwalimu akaniruhusu na kunipa watu wanipeleke nyumbani.. na kuniambia nipumzike nyumbani siku tatu then niende na mzazi.. baada na kwenda na mzazi

Mwalimu alikuwa anamwambia Baba kuwa mwanao alikuwa na maendeleo mazuri na miezi hii ya karibu amekuwa akifanya vibaya bila ya kujua chanzo ni nini? Ila juzi ameumwa hapa na ugonjwa wa ajabu sana .. bado sijajua kama hilo ni tatzo em nielezee kama hiyo hali inamtokea mara kwa mara au laaah .. Baba alimwambia ni kila siku anapolala lazima imkute mpaka siku nyingine anaogopa kulala... mwalimu akamwambia baba mkizembea kwa mwanenu kwa haya yanayomkuta sio tu kufeli tu darasani na mtamkosa kabsa mwanenu.. naandika hii Message.. machozi yakinibbujika.. mwalimu akamuuliza baba kuwa huu ugonjwa una mda gani? Baba akamwambia.. mwalimu alisikitika sana na kuchukua namba za Baba kwa mawasiliano zaidi...

Ilikuwa tukienda ugenini kutembea wakati wa likizo kazi ilikuwa hiyo hiyo ya kuumwa baada ya kulala.. nilikuwa mtoto asiyekuwa na furaha mda wote.. nilikuwa dhaifu kimwili tena.. nilikuwa sili chakula kwa wakati .. mvivu hata kwenda shule nilikuwa na hali mbaya sana..

Sisi ni waislam... nakumbuka nilipeleka kwa sheikh mmoja ambae namkumbuka mpaka leo na kuelezewa jinsi hali inavyonitokea na akawaambia wazazi kuwa kuna kitu katupiwa kichafu na aliwaelezea mpaka alienitupia hicho kitu na akawaambia ni kwa ajili tu ya wivu tu wa maendeleo ya shuleni.. nia ya icho kitu kichafu ni kumzubaisha na kumchosha kumtesa tu asiwe na raha na amani na automatically atafeli shuleni basi tukaanza tiba pale pale

Akanisomea baadhi ya aya katika baadhi ya sura katika qur-an na akawaambia wazee awe anatafuna punje moja mpaka tatu kabla ya kulala za kitunguu swahumu.. na kuwaambia hali ikiendelea njoeni nae tena.. uwezi amini siku ile ile ya kwanza sikuumwa tena baada ya kusomewa na kutumia kitunguu swahumu kabla ya kulala.. baada ya wiki ilibidi tuame.. na ile hali haikurudia tena... nilikuwa nna miaka kama 11-12 leo nna 20 something.. MUNGU ni mwema sana

Mkuu siwezi kuthibitisha kama uchawi au majini-upo au yapo... Kuna vitu vingine mpaka vikukute mkuu ila kama unaamini Mungu au dini.. upo wazi kwenye vitabu elekezi.. usiombee yakukute,,,, mpaka leo nimekuwa mtu wa pin code hata nikiwa na mia tano haujui kama nna pesa.. lakini kupendeza jadi yetu watoto wa ki-dar-es salaam.. hatujajiani kwa mapendezo
 
Nilipokuwa darasa la nne/tano nilikuwa na muongozo mzuri sana shuleni.. ufahulu mzuri sana.. madaftari safi yaani nilikuwa kitoto fulani hivi cha mfano ,,, nakumbuka nilikuwa nikiitwa officin kama mfano watoto watukutu wakiitwa wazazi wao kwa makosa fulani fulani ..

Tulikuwa tukiishi nyumba moja ya kupanga na wazazi wetu huko mabibo .. wapangaji tulikuwa wengi wengi .. na kulikuwa na bibi mmoja ana mtoto wake ana umri unafanana na mimi.. na tulikuwa tupo sawa ki-darasa lakini hatukukuwa tukisoma shule moja..

Kwa mujibu wa mama anasema alikuwa akiadithia maendeleo yangu ya shule anapopata nafasi ya kukaa na huyo mama.. daah aliniponza kumbe bila ya kujua .. niliumwaga ugonjwa wa ajabu wakuu hakuna mfano na sijasikiaga mpaka leo mtu anaumwa ule ugonjwa tena wala kuona..

Usiku nilipokuwa nimelala nashituka usiku mkubwa saa kati ya saa 8 ,9 au 10 naanza kuwewe seka mithili ya haya mapicha ya mazombi wanavyokuwa wakitembea na kutetemeka sasa wawe wanaenda kasi zaidi yaani.. huwa naamka natetemeka naelekea kwa wazazi na kuwaamsha na hali hiyo ikiwa inaendelea wazee huwa wanaanza kunisomea mpaka hali inakata.. mimi huwa nalia sana baada ya hiyo hali kukata nawauliza wazazi hii ni nini? Wazazi hasa mama nae anaanza kulia hajui nini? Afanye hali ilidumu zaidi ya mwaka bila mafanikio yeyote tulienda hospital zaidi ya 6 lakini haku kuwa na tiba yeyote wazazi walikuwa wakiulizwa hamna magonjwa ya kurithi ninyi “ walikuwa wanasema yaani hakuna ugonjwa kama huo... haibu ilinikuta na shuleni nilipitiwa kwa kulala ugonjwa ukanikuta akaenda kuitwa mwalimu... daaah acheni tu.. mwalimu akaniruhusu na kunipa watu wanipeleke nyumbani.. na kuniambia nipumzike nyumbani siku tatu then niende na mzazi.. baada na kwenda na mzazi

Mwalimu alikuwa anamwambia Baba kuwa mwanao alikuwa na maendeleo mazuri na miezi hii ya karibu amekuwa akifanya vibaya bila ya kujua chanzo ni nini? Ila juzi ameumwa hapa na ugonjwa wa ajabu sana .. bado sijajua kama hilo ni tatzo em nielezee kama hiyo hali inamtokea mara kwa mara au laaah .. Baba alimwambia ni kila siku anapolala lazima imkute mpaka siku nyingine anaogopa kulala... mwalimu akamwambia bana mkizembea kwa mwanenu kwa haya tanayomkuta sio tu kufeli tu darasana mtamkosa kabsa mwanenu.. naandika hii Message.. machozi yakinibbujika.. mwalimu akamuuliza baba kuwa huu ugonjwa una mda gani? Baba akamwambia.. mwalimu alisikitika sana na kuchukua namba za Baba kwa mawasiliano zaidi...

Ilikuwa tukienda ugenini kutembea wakati wa likizo kazi ilikuwa hiyo hiyo ya kuumwa baada ya kulala.. nilikuwa mtoto asiyekuwa na furaha mda wote.. nilikuwa dhaifu kimwili tena.. nilikuwa sili chakula kwa wakati .. mvivu hata kwenda shule nilikuwa na hali mbaya sana..

Sisi ni waislam... nakumbuka nilipeleka kwa sheikh mmoja ambae namkumbuka mpaka leo na kuelezewa jinsi hali inavyonitokea na akawaambia wazazi kuwa kuna kitu katupiwa kichafu na aliwaelezea mpaka alienitupia hicho kitu na akawaambia ni kwa ajili tu ya wivu tu wa maendeleo ya shuleni.. nia ya icho kitu kichafu ni kumzubaisha na kumchosha kumtesa tu asiwe na raha na amani na automatically atafeli shuleni basi tukaanza tiba pale pale

Akanisomea baadhi ya aya katika baadhi ya sura katika qur-an na akawaambia wazee awe anatafuna punje moja mpaka tatu kabla ya kulala za kitunguu swahumu.. na kuwaambia hali ikiendelea njoeni nae tena.. uwezi amini siku ile ile ya kwanza sikuumwa tena baada ya kusomewa na kutumia kitunguu swahumu kabla ya kulala.. baada ya wiki ilibidi tuame.. na ile hali haikurudia tena
Kilichokuponesha ni vitunguu swaumu.
Vitunguu swaumu ni moja ya product bora za mimea katika matibabu.
Zinaongoza kwa kutibu maradhi ambayo kwenye system za pharmacy za dunia hakuna dawa zake.

Ugonjwa ukiwa unaathiri ini na mfumo wa nyongo ni kazi kutibiwa na dawa za pharmacy. Ila mimea na mitishamba vinaweza kutibu.
Kwenda hospitali nyingi sio shida, shida ni vipimo watakavyokupa haviendani na tatizo kwasababu kwenye shule za M.D si kila ujuzi unapatikana.
 
Mambo ya ulimwengu usioonekana utasifilika ktk ulimwengu usioonekana.
 
Kuwepo kwa uchawi ni kitu kingine na kuamini uchawi ni kitu kingine pia.
 
Baada ya kuchapia Kingereza kwa wingi na kuambiwa ukweli Mr Crocodiletooth hakurudi tena kwenye huu uzi, au kwa aibu kaenda kujitoa muhanga huko Ukraine ili afe tu, maana sio kwa kuaibika huko.
 
I have meets with this guys,they are so cool and humble "THIS IS CREATURES OF SPECIAL PRINCIPLES...DO YOU WISH TO SEE? ARE YOU CLEAN ENOUGH?,DO YOU WANT TO POSSESS ONE?I CAN GIVE YOU A LITTLE ONE.
N.b:-I'm in study and research of this dudes...!
[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Baada ya kuchapia Kingereza kwa wingi na kuambiwa ukweli Mr crocodile hakurudi tena kwenye huu uzi, au kwa aibu kaenda kujitoa muhanga huko Ukraine ili afe tu, maana sio kwa kuaibika huko.
Oya, usichanganye Crocodile na Crocodiletooth. Mmoja ni mnyama full na mwingine ni jino tu mnyama 😎
 
Gwajima kila siku anakutana nayo kanisani kwake sijui anayafuga [emoji1787][emoji1787]
 
Havijakukuta..vikikukuta utasema tu.
 
Back
Top Bottom