Mpaka sasa hujathibitisha mungu yupo
Kumuelewa Mungu kama yupo ama hayupo Assume kama wewe ni game developer, take Role ya Creator.
Umetengeneza game lako then ndani umeweka character wako watatu, japo wewe una exist wale character wako wa game hawataweza kuku discover wewe, ila unaweza Ukawawekea sign kuprove uwepo wako.
Same kwa sisi Binadamu tupo kwenye Test, hatuwezi maisha yetu yote kumgundua Mungu ama kumuona mahala fulani, lakini ametuachia signs mbalimbali kuthibitisha uwepo wake. Tutaenda kumuona kiama.
1. Uumbwaji wa Dunia yetu
Dunia na Universe kwa ujumla ilivyoumbwa ukibadili kitu hata kidogo isinge exist, kuanzia Gravity, expansion ya universe hadi position ya Dunia against jua.
Hii video enaelezea vizuri
2.maajabu ya Nyuki.
Mkuu Quran toka karne ya 7 imeelezea mambo mengi ya Nyuki, ikiwemo Nyuki mwanamke ndio anatengeneza asili, matumbo ya Nyuki, precision yake, Nyuki hategemei hives tu Bali hata kwenye mawe anatengeneza asali etc vingi vimegunduliwa miaka ya Karibuni
3.divine ratio, toka divine ratio igunduliwe vitu vyote duniani kuanzia maumbo yetu mpaka vinavyotuzunguka vinatumia hii formula, video nyengine interesting
4.Atom udogo wake na kwamba kuna kitu kidogo kuliko atom vimeelezewa toka karne ya 7
5.dynamic space, kwamba space haipo ombwe tu Bali yenyewe nayo ni kitu ina bend etc
6.maajabu ya ngozi kwamba finger print zetu hazifanani yalielezewa toka karne ya 7, pia kwamba ngozi ikiunguzwa maumivu yanapungua.
Hizi signs zipo nyingi sana, no way karne ya 7 mtume aandike tu hivi vitu mwenyewe bila kupata Msaada wa Intelligent creator.