Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sio kweli kua abrahamic zina abudu Mungu mmoja.Dini zote za Abrahamic zina Mungu mmoja, at least kwa Imani yangu. Na hio ni sign moja kati ya Mamia kama sio maelfu ya signs ambazo mwenyezi mungu ametuachia mfano kwenye Quran ambayo imeshuka karne ya 14 Kuna mambo kibao yameelezewa kwa kipindi hiko ni ngumu kuelewa ila sasa hivi yanathibitika ni ukweli, na mpaka Leo hakuna mtu aliweza kuthibitisha uongo wa Quran,
Hivyo hilo nalo linaonesha Devine nature ya Quran.
Kama sheria za kufuata ili upate pepo zina kinzana kati ya dini moja na dini nyingine hatuwezi kusema wote hao wana abudu Mungu mmoja.
Hata wewe naimani humuamini mungu yesu na unapinga kua sio kweli kua ili uende peponi ni mpaka ubatizwe
Ukikubali imani ya kikristo kua inaabudu mungu mmoja na ni ya kweli, utajikuta ile ahadi ya mabikra 72 uliyoahidiwa na Mungu wako inakua ni uzushi.