Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

Dini zote za Abrahamic zina Mungu mmoja, at least kwa Imani yangu. Na hio ni sign moja kati ya Mamia kama sio maelfu ya signs ambazo mwenyezi mungu ametuachia mfano kwenye Quran ambayo imeshuka karne ya 14 Kuna mambo kibao yameelezewa kwa kipindi hiko ni ngumu kuelewa ila sasa hivi yanathibitika ni ukweli, na mpaka Leo hakuna mtu aliweza kuthibitisha uongo wa Quran,

Hivyo hilo nalo linaonesha Devine nature ya Quran.
Sio kweli kua abrahamic zina abudu Mungu mmoja.

Kama sheria za kufuata ili upate pepo zina kinzana kati ya dini moja na dini nyingine hatuwezi kusema wote hao wana abudu Mungu mmoja.

Hata wewe naimani humuamini mungu yesu na unapinga kua sio kweli kua ili uende peponi ni mpaka ubatizwe

Ukikubali imani ya kikristo kua inaabudu mungu mmoja na ni ya kweli, utajikuta ile ahadi ya mabikra 72 uliyoahidiwa na Mungu wako inakua ni uzushi.
 
Pili umerukia kuelezea habari za mungu kuweka signs wakati hilo ni jambo lililopaswa kufuata baada ya kuweka uthibitisho kuonesha huyo mungu yupo

Haujathibitisha Mungu yupo, thibitisha.

Quran imeshuka kutoka wapi? Na unathibitishaje huko ulikotoka ni kweli na sio propaganda?

Unasema Quran imekuja karne ya 14 na kuongelea vitu kibao ambavyo vilikua ni ngumu kueleweka kwa wakati ule, je ndio kigezo cha kuifanya Quran iwe special kuliko vitabu vingine?

Nadhani katika historia ya vitabu vya dini hiki kitabu cha quran ni latest kuna vilivyo tangulia kabla yake. Unazungumziaje hivyo vitabu vilivyo kuja kabla ya kuran amnavyo viliandika habari complex kwa kipindi hicho ambazo kwa sasa habari hizo ndio zinaeleweka?

Je hiyo itakua ni sababu ya wewe kuviita vitabu hivyo vya kweli na vimetoka kwa Mungu wa kweli?

Biblia ni kongwe kuliko quran na ndio maana wapo wakristo wamekua wakidai kua kuran imekuja kukopi habari za biblia kutokana na kua ilichokiandika sio kigeni kwenye kitabu chao

Pia vipo vitabu vingi ambavyo huwezi kuthibitisha uongo wake, je navyo tuviite vya Mungu?
 
Mungu
Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nini. Nani ambaye anaweza kutupa proof uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?

Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.

Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje kama yapo.
Majini na uchawi ni dhana za kufikilika

Eti mchawi anatembea angani kwenye ungo.. Uongo tu.. Waambie hayo majini yawape pesa.. Wanaojiita wagantyan
Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nini. Nani ambaye anaweza kutupa proof uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?

Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.

Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje kama yapo.
Majini na uchawi ni dhana za kufikilika

Eti mchawi anatembea angani kwenye ungo.. Uongo tu.. Waambie hayo majini yawape pesa.. Wanaojiita waganga au wenye majini maskini km nini.
Tunaweza kuuprove upepo..
Hayo majini yenu mbn hamuwezi.
Hata hawa wanaopandisha majini/mashetani hakuna chochote wanaumwa akili au km wanawake wanaumwa hysteria.

Lete Proof hapa.

Hakuna cha majini wala uchawi
tuanze na we we, je ,Mungu yupo?
 
Hivi baba mwajuma unajua maana ya DIGITAL information?
Toka ulimwengu uumbwe kumewahi digital information kutokea kwa evolution? Kama haijawahi

Nani ama nini ama kipi kimesababisha DNA zetu kuwa na Digital information?

Kama imewahi ni mfano gani wa hio digital informati
 
Hivi baba mwajuma unajua maana ya DIGITAL information?
Data ambazo zimehifadhiwa kwenye digital media zina hadhi ya kuitwa digital information. Sasa hivi wanasayansi wengi wamefanikiwa kutumia DNA kama storage device kuhifadhia mafile mbalimbali.
 
Sio kweli kua abrahamic zina abudu Mungu mmoja.

Kama sheria za kufuata ili upate pepo zina kinzana kati ya dini moja na dini nyingine hatuwezi kusema wote hao wana abudu Mungu mmoja.

Hata wewe naimani humuamini mungu yesu na unapinga kua sio kweli kua ili uende peponi ni mpaka ubatizwe

Ukikubali imani ya kikristo kua inaabudu mungu mmoja na ni ya kweli, utajikuta ile ahadi ya mabikra 72 uliyoahidiwa na Mungu wako inakua ni uzushi.
Kwa Imani ya kiisilamu yesu ni mtume, na hata wakristo wapo wenye Imani sawa na waisilamu wakiwemo MA genius kama Isac Newton ambaye Alikuwa anaamini Mungu mmoja.

Na Dini zote za Abrahamic zinausia kitu kimoja kumuamini Mungu mmoja bila mshirika,
 
Pili umerukia kuelezea habari za mungu kuweka signs wakati hilo ni jambo lililopaswa kufuata baada ya kuweka uthibitisho kuonesha huyo mungu yupo

Haujathibitisha Mungu yupo, thibitisha.

Quran imeshuka kutoka wapi? Na unathibitishaje huko ulikotoka ni kweli na sio propaganda?
Tumia akili hata kidogo basi Mkuu, assume Quran ni propaganda, miaka 1400 haitoshi kuprove kama ni propaganda? Kwanini mpaka Leo hakuna alie prove hilo?
Unasema Quran imekuja karne ya 14 na kuongelea vitu kibao ambavyo vilikua ni ngumu kueleweka kwa wakati ule, je ndio kigezo cha kuifanya Quran iwe special kuliko vitabu vingine?
Hakuna sababu moja kuthibitisha Quran ni neno LA Mungu Bali muunganiko wa sababu vitu vinavyothibitisha akili ya mwanadam haiwezi.
Nadhani katika historia ya vitabu vya dini hiki kitabu cha quran ni latest kuna vilivyo tangulia kabla yake. Unazungumziaje hivyo vitabu vilivyo kuja kabla ya kuran amnavyo viliandika habari complex kwa kipindi hicho ambazo kwa sasa habari hizo ndio zinaeleweka?

Je hiyo itakua ni sababu ya wewe kuviita vitabu hivyo vya kweli na vimetoka kwa Mungu wa kweli?

Biblia ni kongwe kuliko quran na ndio maana wapo wakristo wamekua wakidai kua kuran imekuja kukopi habari za biblia kutokana na kua ilichokiandika sio kigeni kwenye kitabu chao
Kwa Imani ya Uisilamu ni lazima uamini Issa (Yesu) alikuja na Injili kama huaminu wewe sio muisilamu,

Na Quran Kuna mambo mengi Bible haijayaelezea na Quran ikaja kuyaeleza na Recent discoveries zika prove kwamba ni kitu cha kweli.
Pia vipo vitabu vingi ambavyo huwezi kuthibitisha uongo wake, je navyo tuviite vya Mungu?
Unaweza ukavitaja Mkuu kitabu cha binadamu chenye maelfu ya miaka kinachoongea ukweli mtupu? Na chenye Devine signs kama vitabu vya Mungu?
 
Kwa Imani ya kiisilamu yesu ni mtume, na hata wakristo wapo wenye Imani sawa na waisilamu wakiwemo MA genius kama Isac Newton ambaye Alikuwa anaamini Mungu mmoja.

Na Dini zote za Abrahamic zinausia kitu kimoja kumuamini Mungu mmoja bila mshirika,
kwa imani ya kikristo yesu pia ni mungu, hiyo tu inatosha kuthibitisha kwamba dini hizi zina abudu miungu zaidi ya mmoja
 
Tumia akili hata kidogo basi Mkuu, assume Quran ni propaganda, miaka 1400 haitoshi kuprove kama ni propaganda? Kwanini mpaka Leo hakuna alie prove hilo?
Kwani Quran ilishawahi ku prove mungu yupo?
Hakuna sababu moja kuthibitisha Quran ni neno LA Mungu Bali muunganiko wa sababu vitu vinavyothibitisha akili ya mwanadam haiwezi.
Hakuna sababu au huna uthibitisho?

Kama uthibitisho kwako si kipaumbele utakua na hakika gani kua habari hizo ni za kweli?
Kwa Imani ya Uisilamu ni lazima uamini Issa (Yesu) alikuja na Injili kama huaminu wewe sio muisilamu,
Kuna mjadala kama huu jukwaa la IT wakipinga issa sio yesu
Na Quran Kuna mambo mengi Bible haijayaelezea na Quran ikaja kuyaeleza na Recent discoveries zika prove kwamba ni kitu cha kweli.
kwa hiyo unakubali kua kuna habari za biblia ambazo kuran ilikuja ku copy?
Unaweza ukavitaja Mkuu kitabu cha binadamu chenye maelfu ya miaka kinachoongea ukweli mtupu? Na chenye Devine signs kama vitabu vya Mungu?
Hakuna kitabu cha mungu, bali kuna vitabu vya dini vyenye madai kua ni vya mungu

"Chronicon Aquitanicum" hiki kilitoka karne ya 10 kabla ya quran, unaweza kunionesha wapi ambapo wamethibitisha uongo wake?
 
Data ambazo zimehifadhiwa kwenye digital media zina hadhi ya kuitwa digital information. Sasa hivi wanasayansi wengi wamefanikiwa kutumia DNA kama storage device kuhifadhia mafile mbalimbali.
Unajua ukitoa definition ya neno hutakiwi kuliweka Tena kwenye definition yako maana italeta swali lingine Tena.
Nmekuuliza digital information Ni Nini ukasema Ni data zinazohifadhiwa kwenye digital media.
Haya Digital media ni Nini?
 
Baadhi wanasema kuna majini wazuri na majini wabaya, wazuri hua wanasali na kumuomba mungu na wabaya hadi ma atheist wapo

Wapo wanaodai kua kuna elimu juu ya utengenezaji wa hivyo viumbe.

Kuna siku nilisikia redioni mkufunzi akitoa somo namna ya kuita jini kwa kutamka maneno fulani hivi ya kiarabu.

Yale maneno niliyanukuu vyema nikawa naya practice maana mdau alisema unatakiwa uende njia panda usiku wa maneno kisha utamke hayo maneno

Nikiwa na tumaini kua leo ndio siku ambayo najithibitishia kua majini yapo, nikafika njia panda nikaanza kuyatamka hayo maneno kwa kuyarudia rudia zaidi ya mara 100 lakini hakukua na respond yeyote kutoka third party system

Wakati nikiendelea kutamka yale maneno nilishtukizwa na roba flani matata upande wa nyuma, mwanzo nilidhani ni ujio wa jini kumbe ni kibaka wa mtaa na alikua anapiga patrol

Aisee nilimlaumu sana yule jamaa wa redioni
[emoji23]
 
Kwani Quran ilishawahi ku prove mungu yupo?

Hakuna sababu au huna uthibitisho?

Kama uthibitisho kwako si kipaumbele utakua na hakika gani kua habari hizo ni za kweli?

Kuna mjadala kama huu jukwaa la IT wakipinga issa sio yesu

kwa hiyo unakubali kua kuna habari za biblia ambazo kuran ilikuja ku copy?

Hakuna kitabu cha mungu, bali kuna vitabu vya dini vyenye madai kua ni vya mungu

"Chronicon Aquitanicum" hiki kilitoka karne ya 10 kabla ya quran, unaweza kunionesha wapi ambapo wamethibitisha uongo wake?

sorry mkuu naweza kupata softcopy yake?
 
Siku moja usiku rafiki yangu alikuwa anakula miraa nje, akiwa full handas akatembea hadi barabarani na kusimama njia panda akiendelea kutafuna miraa. Alikuwa amevaa kanzu nyeupe, wakatokea kina dada wawili walipomuona wakakimbia sana hakuwaona tena na hakujua ni kina nani.

Kesho yake asubuhi akasikia dada mmoja jirani yake akimsimulia mke wake kwamba jana usiku waliona jini pale njia panda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
 
Unajua ukitoa definition ya neno hutakiwi kuliweka Tena kwenye definition yako maana italeta swali lingine Tena.
Nmekuuliza digital information Ni Nini ukasema Ni data zinazohifadhiwa kwenye digital media.
Haya Digital media ni Nini?
Hizo ni nadharia zenu za shule

, niliokupa ni official definition toka kwenye dictionary.

Unaweza ukadefine digital information as data stored as Zero and one. Inatosha kabisa, ila utaacha njiani watu wengi humu.

Digital media ni media yoyote ambayo imekuwa encoded kwenye machine readable formats.

Na Mkuu Wikipedia ipo Ukitaka kupata ufafanuzi wa definition. Rudi kwenye mada.
 
Kwani Quran ilishawahi ku prove mungu yupo?
Quran yenyewe ni proof uwepo wake wa miaka 1400 na mpaka Leo mtu kushindwa kutoa weakness zake ni proof, na mwenyezi mungu aka challenge zaidi kama haitoki kwa Mungu basi mjaribu ku andika hata sura moja Tu kama Quran na mpaka Leo hakuna aliefanikiwa japo mamilioni ya watu wanaichallenge.

Hakuna sababu au huna uthibitisho?

Kama uthibitisho kwako si kipaumbele utakua na hakika gani kua habari hizo ni za kweli?

Kuna mjadala kama huu jukwaa la IT wakipinga issa sio yesu

kwa hiyo unakubali kua kuna habari za biblia ambazo kuran ilikuja ku copy?
Quran haijacopy per se, Bali injil, taurat, zabur na Quran vina Muandishi mmoja ambaye ni Mungu,

Hivyo Mwenyez Mungu hawezi kujicopy mwenyewe.

Na sababu corruption ilitokea kwenye vitabu vya nyuma Quran ikaja kusahihisha.
Hakuna kitabu cha mungu, bali kuna vitabu vya dini vyenye madai kua ni vya mungu
Tupe proof havitoki kwa mungu
"Chronicon Aquitanicum" hiki kilitoka karne ya 10 kabla ya quran, unaweza kunionesha wapi ambapo wamethibitisha uongo wake?
1. Quran ni karne ya 7 hicho ya 10
2. Kina record za vifo vya wafalme
3.kimekuwa edited Mara kibao (tayari kimeshapoteza sifa ya kuwa divine book, maneno ya Mungu hayawi edited
4.ni kitabu cha science, science ina involve observation na experiments, mwenyez Mungu akisema kuwa inakuwa Hafanyi experiment na science ina improve ina maana kila iki improve wanabadili.

Tayari hapa kimekosa sifa ya kuitwa Divine Book.
 
I have meets with this guys,they are so cool and humble "THIS IS CREATURES OF SPECIAL PRINCIPLES...DO YOU WISH TO SEE? ARE YOU CLEAN ENOUGH?,DO YOU WANT TO POSSESS ONE?I CAN GIVE YOU A LITTLE ONE.
N.b:-I'm in study and research of this dudes...!
Oya mzee Kigalatia hukijui asee tumia tu Kibantu.
 
Back
Top Bottom