Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini


No prove.. Wewe ulikuwa na nyege
 
Lete prove.. Umewaonaje
 
Bado huna prove
 
Siku moja usiku rafiki yangu alikuwa anakula miraa nje, akiwa full handas akatembea hadi barabarani na kusimama njia panda akiendelea kutafuna miraa. Alikuwa amevaa kanzu nyeupe, wakatokea kina dada wawili walipomuona wakakimbia sana hakuwaona tena na hakujua ni kina nani.

Kesho yake asubuhi akasikia dada mmoja jirani yake akimsimulia mke wake kwamba jana usiku waliona jini pale njia panda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
 
...Naomba nikusaidie kidogo mto mada. Hapo kwenye 'lete Prove' inatumiaka zaidi 'Lete Proof'!!
 
Uchawi upo na majini yapo wengine tumeshawahi kuyatoa bikra hayo majini ya kike
 
Acha upambavu dogo.
uchawi upo me mwenyewe nishapoteza ndugu kwa huo uchawi (hawakuwa warengwa)

Kuhusu jini sijawahi liona, ila uchawi sio kuuonatu, mpaka kuubeba.

Ila malezi nayo yana changia, huwezi lelewa maisha ya mboga saba ukaujua uchawi, ila ungezaliwa uswahilini usingeongea hivi.
 
Afrika hata mtu akiota ndoto mbaya kwa sababu kalala na njaa, atakuambia kakutana na jini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…